Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Mkuu De Gea siwezi kumlaumu maana yuko chini ya pressure kubwa, akisettle ni kipa mzuri.Yah!! Itamchukua muda kidogo kuweza kukop ila ni kipa mzuri, alijisahau tu kutoka golini
Mkuu De Gea siwezi kumlaumu maana yuko chini ya pressure kubwa, akisettle ni kipa mzuri.Yah!! Itamchukua muda kidogo kuweza kukop ila ni kipa mzuri, alijisahau tu kutoka golini
Huyu lines man kilaza kweli
High defensive line kama ya Arsenal wtf?
Tuna safari ndefu kwa kipa.
Nyi wenyewe hamna kitu kuanzia kipa, beki, viungo hadi washambuliaji
Watu wanapewa run ins ya mechi kabla hawajapelekwa timu nyingine kwa mkopo.Hii Sub. inastua kidogo babu anapenda sana kucheza kamali
Confirmation of those three changes. Cleverley, Evans and Jones replace Carrick, Ferdinand and Vidic in the United side.
whaaaaaaaaaaaaaaaaat a goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal
Bongeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee la goliiiii wakuuu. Move yenu kama Arsenal hapo.