Hahah kusema kweli kipindi cha kwanza tulicheza kama Arsenal maana tulicheza vizuri alafu tukajakufungwa magoli ya kijinga.Bongeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee la goliiiii wakuuu. Move yenu kama Arsenal hapo.
Kaenda lockerroom alafu kaamua kurudi lol.
Hahah kusema kweli kipindi cha kwanza tulicheza kama Arsenal maana tulicheza vizuri alafu tukajakufungwa magoli ya kijinga.
Madogo wote wanaonesha kandanda safi sana
Huyu kipa wenu sidhani kama atakuwa anawapa match winning saves kama Van der Sar.
How about that for a save?Huyu kipa wenu sidhani kama atakuwa anawapa match winning saves kama Van der Sar.
Duh Ashley Young ndio mchezaji mwenye umri mkubwa kwenye timu yetu at 26.
Kuna watu kama Berbatov kaingia sasa hivi kuna Giggs, Rio, Vidic wakubwa hii ni preseason tunawapa vijana mazoezi.Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee si mlikuwa mnakandia chipukizi what a turn around.