Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
What a goaaaal.
Nimesema van der sar atakumbukwa mwaka huu
Nimesema van der sar atakumbukwa mwaka huu
What a goaaaal.
Nimesema van der sar atakumbukwa mwaka huu

Man city kafunga kafungwa??
Tuna safari ndefu kwa kipa.
Semeni tuwauzie Almunia aja kumsaidia huyu, tutawapa bure Almunia.
Yah!! Itamchukua muda kidogo kuweza kukop ila ni kipa mzuri, alijisahau tu kutoka golini
Nyi wenyewe hamna kitu kuanzia kipa, beki, viungo hadi washambuliaji
Hato kuwa sharp kama Van Der Sar, hizi mbili ndio kwanza zimemchanganya na kupoteza confidence.
Hayo maneno subiri jumamosi ndio useme, tunacheki game yenu hapa.

Hahaha..De Gea!!

Duh! Bonge ya kipa!!
Pamoja na kuwa goli la pili De Gea could have done better siwezi kumlaumu maana pressure aliyonayo ni kubwa sana.

Chacha taka pigana na nani?
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nasikia Baloteli ameandaa mikonyezo tu kesho, sasa msipigane tu .... ..... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee