Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1503869416816.png
Game za Manchester sasa hivi kuzitazama zinasaidia kuondoa harara, chunusi, utangotango.. zinarudisha mvuto, zinaongeza nguvu za kiume, kupandishwa cheo kazini, inaondoa mikosi pamoja na nuksi, vile vile inaongeza vitamini D na kurudisha hamu ya kula.. KWA PAMOJA TUENDELEE KUZITAZAMA
 
Wakuu nafikir tumevunja rekodi ya kushinda mechi refa akiwa michael oliver huwa ni sare au tunadundwa kama nimekosea mnisahihishe huwa anatuumizaga sana huyu na yule alienda uarabun clutenburg
Hao noma yule aliyeenda uarabuni ilikua ndio funga kazi halafu njaa ndio ilimpeleka

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Upo sahihi sana mimi mwenyewe dembele ameniacha na mshangao mkubwa sana kutokana na kipaji chake hususan kwenye kudribble mpira. Ila hatupaswi kumlaumu mourinho kwa kushindwa kumfatilia dembele ila maskauti wa timu ndio wanapaswa kulaumiwa kwa kushindwa kuona kipaji chake alipokuwa ufaransa na mpaka dortmund wanamsajili kwa pesa kidogo mnoo.kwa wakati huu ambapo soko la usajili limekuwa baya club inapaswa kuwa na maskauti kila kijiji ili kuhakikisha wanapata wachezaji vijana wenye ubora kwa bei nafuu.inashangaza kuona dortmund sasa hivi wana skauti wazuri kuliko timu yetu.
Huyo dogo prematch ya msimu uliopita alitupiga bao moja kati ya matatu tuliyofungwa na dortmund

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Kwa kifupi leo tumeshinda bila kucheza vizuri hiyo ni dalili ya kuchukua ubingwa
Mi naona tofauti,tumeshinda kwa sababu tumecheza vizuri,L.city sio timu ya kubeza,angalau wamekuwa kipimo kizuri kwetu,hasa kutathmini plan za kocha wetu.

L.cty kimpira hawana tofauti na Man City this season kama umewaona Man City,wanashambulia kwa muda,wanakaba sana na kuzuia timu pinzani isicheze katika game plan yao,walifanikiwa hili katika kipindi cha Kwanza.

Kipindi cha Kwanza tuliposhindwa kupata goli kocha hakuwa na Jinsi zaidi ya kuhamia plan b ya game plan yetu nayo ni kuforce pale Mbele ili magoli/ushindi upatikane huku tukilinda tusifungwe,and always Big Fella aka Fundi Mao ameendelea kuwa game plan B yetu.

Tukiwa tumeshinda Big Fella huja kuzuia na kulinda ushindi wetu,tukiwa tunahitaji ushindi Big Fella huja kuhold mipira pale mbele huku akizuia timu plan kushambulia aka Mkata Upepo.

Vizuri Mou ni mzuri katika game plan,L.city walikuwa na nia ya kujilinda/kuizuia Man U wasicheze mpira wao,ndio mana leo unaona Matic alicheza zaidi nyuma,hakucheza mpira wake tuliouzoea,L.city walifanikiwa katika hili,huku wakitafuta angalau goli 1 la kushtukiza ili wajilinde zaidi.

Na kama wakifungwa basi isiwe kwa Magoli mengi,nimefurahi kuona sasa Man United ikianza kuogopwa nje ya Uwanja, timu inakuja uwanjani na game plan ya kutuzuia au kuzuia kufungwa goli nyingi na sio kuja kutufunga kama misiwi mitatu iliyopita,hii itatusaidia sana msimu huu kwa vitimu vidogo kuvipiga mapema.

L.city nia yao ilikuwa ni kuizuia United bahati mbaya sio kwa United hii ya Kiungo cha Matic na Pogba,na wangefunguka wangepigwa nyingi sana.

Katika Match hii nilitegemea kuanza na viungo watatu, Matic,Herera na Pogba sijajua kwa nini Mou amemiacha Herera, ila naamini Mou ameona kitu Match zijazo za namna hii naona Herera atapewa nafasi,ni mzuri timu pinzani inapokuwa na game plan ya kushambulia na kuzuia kwa wakati mmoja.

Kuanza na Martial badala ya Rashford ni game plan tu hii ni baada ya Consistence nzuri ya Martial kwenye match mbili zilizopita.

Tofauti ya Martial ni mzuri timu inapokuwa imeshashinda tofauti na timu inapotafuta ushindi while Rashford ni mzuri timu inapokuwa inatafuta ushindi,kucheza wote kwa dakika chache ni dhahiri tulikuwa tunatafuta ushindi wa goli zaidi ya mbili.

Nimependa Sub za leo,Matta na Mikh kuwapisha Fellain na Rashford,Mata bado anaendelea kutafuta fitness yake uwanjani baada ya majeruhi ya muda mrefu,anendelea kucheza vema lakini hastahili kucheza dakika zote tisini,bado mpira haujaanza kumtii,n adhani na umri nao umeanza kumtupa mkono.

Mikh bado anatakiwa kumshawishi kocha bado hajawa na makali yake kuifanya timu kumtegemea yeye zaidi, ana kazi ya zaidi katika hili ili kuja kuwa Star wa timu.

Hadi sasa mashabiki hatumtegemei yeye zaidi badala yake tunamuangalia Lukaku,Matic,Rashford au Martial na Pogba katika kutupatia ushindi.

Samtime naonelea Namba 10 ni bora akacheza Rashford kuliko Mikh au Mata.

Lukaku hakuwa na bahati katika hii match but ameendelea kuonesha tofauti pale mbele,jamaa ni zaidi ya simba mwenye njaa Mbele ya kundi la pundamilia,anahangaika uwanja mzima.

Tuendelee kutegemea mabadiliko makubwa kutoka kwa Pogba,ameanza kutafuta nafasi yake kama Pogba,mashuti yake yananikumbusha enzi za Scolse.

All is well,Huu msimu ni wetu.

Timu kidogo itakayotusumbua this season ni Liverpool,jamaa wana kikosi tofauti kidogo hasa pale mbele lakini tuna Herer na Matic kati, Baily na Darmian.

Natamani kuona kurejea mapema kwa Roho kabla ya kukutana na Majogoo wa Jiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani phil jones anazidi kuwa na roho mbaya kwenye dimba ....
tatizo lake ni majeruhi ila tuna bonge la beki pale hasa hii Chemistry inayoanza kutengenezeka kati yake na Baily.

Kimo cha Baily na shughuli anayofanya uwanjani ni vitu viwili tofauti,Baily angekuwa na mwili na urefu nadhani tungerudi enzi za kina Rio na Nemanja.

Ni vema now tuna watu wa uhakika zaidi ya watano katika beki ya kati,Baily, Rojo,Leondorf,Jones na ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo lake ni majeruhi ila tuna bonge la beki pale hasa hii Chemistry inayoanza kutengenezeka kati yake na Baily.

Kimo cha Baily na shughuli anayofanya uwanjani ni vitu viwili tofauti,Baily angekuwa na mwili na urefu nadhani tungerudi enzi za kina Rio na Nemanja.

Ni vema now tuna watu wa uhakika zaidi ya watano katika beki ya kati,Baily, Rojo,Leondorf,Jones na ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Bailly na Rio wana kimo sawa 6'2". Bailly ana mwili ndio maana unamuona mfupi.
 
Bado HAMJACHEZA na yyt yule
Salah,Mane,Fimo hawa mabeki wenu wazito watafika wao isha nyanyua miguu
Nakupiga home and away safari hii
Mmetangulia na baiskeli ya miti
Nani hayaogopi MAJOGOO?
RRONDO
cut


Timu ipi ina magoli mengi katika mechi 3? Mshazoea wenger hao hawakucheza na crystal palace?

Hauna rekodi ndani ya miaka miwili kumfunga united ktk mechi za ligi uwe kwako au kwetu nategemea mourinho anaendeleza yale yale ya van gaal.
 
Habari ambazo hazijathibitishwa rasmi zinasema Andreas Pereira yupo mbioni kujiunga na Valencia kwa mkopo.
 
Bado HAMJACHEZA na yyt yule
Salah,Mane,Fimo hawa mabeki wenu wazito watafika wao isha nyanyua miguu
Nakupiga home and away safari hii
Mmetangulia na baiskeli ya miti
Nani hayaogopi MAJOGOO?
RRONDO
cut

Liverpool ukiacha coutinho anatakiwa na barca bas waliobaki kama swansea tu hata wewe ukitulia na kufikiria timu yako haina mchezaji kufikia uwezi wa sanchez sema mzee wenger upepo unamwendea vibaya wa kifikra anamchezesha ramsey mkabaji kokolin yupo bench unampa namba welbek lacazatte yupo banchi unampa namba holding mustaf yupo bench walcot hata girud angewasumbua mabeki wabovu wa liver et matip mzee kile sio kipimo arsenal anafungwa had na stoke city wakat timu kubwa kama mech ngumu ni suluhu liverpool bado sana wakina solanke yani futa kabisa liverpool kumfunga mourinho ombaga wakina arsenal tu
 
Bado HAMJACHEZA na yyt yule
Salah,Mane,Fimo hawa mabeki wenu wazito watafika wao isha nyanyua miguu
Nakupiga home and away safari hii
Mmetangulia na baiskeli ya miti
Nani hayaogopi MAJOGOO?
RRONDO
cut
Umeangalia liver peke yake. Na wewe humuogopi Rashford, Martial Big fella?
 
Bado HAMJACHEZA na yyt yule
Salah,Mane,Fimo hawa mabeki wenu wazito watafika wao isha nyanyua miguu
Nakupiga home and away safari hii
Mmetangulia na baiskeli ya miti
Nani hayaogopi MAJOGOO?
RRONDO
cut
Sawa n wazito


Nitajie timu mbili zenye cleansheet 3 Premier League mpaka wakati huu???

Huenda tukajua n bek wa kina nani wazito
 
tatizo lake ni majeruhi ila tuna bonge la beki pale hasa hii Chemistry inayoanza kutengenezeka kati yake na Baily.

Kimo cha Baily na shughuli anayofanya uwanjani ni vitu viwili tofauti,Baily angekuwa na mwili na urefu nadhani tungerudi enzi za kina Rio na Nemanja.

Ni vema now tuna watu wa uhakika zaidi ya watano katika beki ya kati,Baily, Rojo,Leondorf,Jones na ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Eric Bailly ana futi 6 yule... sio mfupi
 
Back
Top Bottom