Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Upo sahihi sana mimi mwenyewe dembele ameniacha na mshangao mkubwa sana kutokana na kipaji chake hususan kwenye kudribble mpira. Ila hatupaswi kumlaumu mourinho kwa kushindwa kumfatilia dembele ila maskauti wa timu ndio wanapaswa kulaumiwa kwa kushindwa kuona kipaji chake alipokuwa ufaransa na mpaka dortmund wanamsajili kwa pesa kidogo mnoo.kwa wakati huu ambapo soko la usajili limekuwa baya club inapaswa kuwa na maskauti kila kijiji ili kuhakikisha wanapata wachezaji vijana wenye ubora kwa bei nafuu.inashangaza kuona dortmund sasa hivi wana skauti wazuri kuliko timu yetu.Nimeangalia hailaiti za OUSMANE BEMBELE, dogo anaonekana ni fundi sana, sijui kwa nini barcelona walikua wanang'ang'ania kwa coutinho, anastahili kununuliwa kwa ile hela kutokana na soko lilivo sasa, mou hakumuona yule dogo mpaka na yeye kung'ang'ana kwa perisic?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jones hatari sana sioni nafasi ya smalling kabisa pale akirudi na rojo ndo itakua balaa.
Xmass Boy.
Upo sahihi sana mimi mwenyewe dembele ameniacha na mshangao mkubwa sana kutokana na kipaji chake hususan kwenye kudribble mpira. Ila hatupaswi kumlaumu mourinho kwa kushindwa kumfatilia dembele ila maskauti wa timu ndio wanapaswa kulaumiwa kwa kushindwa kuona kipaji chake alipokuwa ufaransa na mpaka dortmund wanamsajili kwa pesa kidogo mnoo.kwa wakati huu ambapo soko la usajili limekuwa baya club inapaswa kuwa na maskauti kila kijiji ili kuhakikisha wanapata wachezaji vijana wenye ubora kwa bei nafuu.inashangaza kuona dortmund sasa hivi wana skauti wazuri kuliko timu yetu.
Hahaha ndo unavyowaza hivyo. ..Hapa West Brom pekee ndo ana uhakika wa kuwa na point sawa na sisi endapo atashinda leo.
Otherwise, gape la points limeanza kuonekana.
Mechi tatu nyingine zijazo tukishinda kwa goli nyingi, basi sioni wa kutupokonya kombe.
Jones hatari sana sioni nafasi ya smalling kabisa pale akirudi na rojo ndo itakua balaa.
Xmass Boy.
Hahaha ndo unavyowaza hivyo. ..![]()
![]()
![]()
Pole sana.
Soon tu kila timu itarudi kwenye nafasi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app