Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
Mchezaji kwenu ni Lukaku tuUmeangalia liver peke yake. Na wewe humuogopi Rashford, Martial Big fella?
Hao ni magarasa
Mchezaji kwenu ni Lukaku tuUmeangalia liver peke yake. Na wewe humuogopi Rashford, Martial Big fella?
Wanachukua nafasi ya nani?? hebu peleka ujinga wako hukoMane
Salah
Firmo
Kama wana switch team wanaenda Man U now moja kwa moja wanaanza kikosi chenu cha kwanza!
Mane na armband anapewa kuwa nahodha!
Acha utani wewe
Pale mbele kwenu atacheza Lukaku tu
Akae nje Salah aanze trash Martial?
Hapo kuna team kweli umetaja au magarasa?Leicester City unauwezo wa kumfunga? hata huyo Swansea mwenyewe?? Wameshinda ugenini 2-0... Suluhu na Watford kwako waona kipimo tena 3-3,??? kitulize,, hakuna namna unapona
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Hao magarasa ndiyo wanamtoa nani Liverpool sasa?Wanachukua nafasi ya nani?? hebu peleka ujinga wako huko
Pogba? Mata? Rashford? Herrera? Lukaku? Matic au nani??? Martial?? unaota mchana wewe..Mikh??? Mr Assists??
Kwann hukumfunga hizo goli Watford au Palace???Hapo kuna team kweli umetaja au magarasa?
Swansea amkute Liverpool kamili ni 6-0
So ghafla umeshuka kutoka wachezaj woote uliotaja umebak kwa mane???Hao magarasa ndiyo wanamtoa nani Liverpool sasa?
Mane akae nje sababu ya Mata?
Huyo atakuwa kocha au kichaa?

Arsenal wana point ngapi?WHU imepoteza gamez zote 3
LC wana points 3
Swansea?
Come on guys!You didnt play with nobody yet
Cheza na Liverpool une kama utalinda clean sheet
Mane
Salah
Firmo
Kama wana switch team wanaenda Man U now moja kwa moja wanaanza kikosi chenu cha kwanza!
Mane na armband anapewa kuwa nahodha!
Acha utani wewe
Pale mbele kwenu atacheza Lukaku tu
Akae nje Salah aanze trash Martial?
Hao magarasa ndiyo wanamtoa nani Liverpool sasa?
Mane akae nje sababu ya Mata?
Huyo atakuwa kocha au kichaa?
Hao watoto ulowataja kama ndo mnawategemea uefa basi safari yenu itakuwa fupi.Kipindi cha van gal walisimama yeye na blind walifanya vizur sna tulifungwa goli chache ukiacha spurs nafikir ni mfumo wa kocha ila atakaa sawa tu mechi ya eufa zidi ya fc basel watasimama yeye na lindelof kuna kitu mourinho anatengeneza baily anacheza vizur akiwa na rojo + jones smalling hao wote haendani nao kocha ajaribu kumuandaa na lindelof kuwajengea partnership ni suala la muda tu.
Mpk muhamie uko mtakuwa kwenye nafasi yenu pendwa '6' ...Tayari 4-4-2 tukirudi tunahamia 3-5-2
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA



Hapo kuna team kweli umetaja au magarasa?
Swansea amkute Liverpool kamili ni 6-0
Hao watoto ulowataja kama ndo mnawategemea uefa basi safari yenu itakuwa fupi.
Mourinho itabidi ajipange ..UEFA hatuitaji watoto!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na huu ni mwaka wenu?? 😀😀😀You didnt play with nobody!
Cheza na Liverpool uone kama utapata clean sheet!
Mane atakupiga kama mtoto
Majukwaa yao yamechachamaasidi mbona wengi sana kwenye jukwaa letu..si mchangie kwenye majukwaa yenu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa majibu yako...March napewa kombe langu
May nacheza final ya CL