Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Hilo mimi pia nimeliona amekuwa mtulivu anaweka kila jambo mahala pake kipindi cha nyuma Jones alikuwa anatia shaka dizaini kama wes brown unajua kama sio kulambwa kadi basi atatoa boko na ukitizama tambo (umbo )analo zuri tu.Ilinibidi nianze kufatilia game mbili tulizocheza kwa makini kabisa hasa nikiangalia mienendo ya PHIL JONES ..jamaa amebadilika sana sasa ivi anakaza alafu roho mbaya ya mpira ishaanza kumuingia akiendelea hivi team itakua imara sana japo akirudi muhuni MARCUS ROJO ndo itakua burudani zaidi , tuko vizuri sioni vijana wa king power watatokea wapi
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Popote ulipo CUTE B pole na uchovu wa safari.