Manchester United (Red Devils) | Special Thread

2485e76731919a973765158c5612d51b.jpg

mapema kbs wameliamsha dude.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenger hatoki pale, watatoka wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mechi moja ndio mnatoa hukumu kwa huyu 19yrs old? Hebu acheni ushabiki wa ajabu ajabu!
Kuna watu naona mnamsema vibaya Rashford, kuna kitu hamjataka kujipa mda na kukiangalia! Rashford yupo kwenye tight training chini ya Mourinho, anajengwa na kutengenezwa vizuri. Msilaumu eti anakuwa mchoyo no! Kuna kipindi tulisema rashford ni mchezaje anaefanya mazoezi ya kufunga nusu saa baada ya mazoezi na wenzake kumalizika, na ukiangalia anaonesha positive improvement akiendelea hivi na akajiamini soon atakuja kuwashangaza wengi sana. Rashford anapiga shoot za adabu hata kama hafungi, Mourinho sio mjinga akawa anamuanzisha pale anajua atakuja kuwa msaada sana baadae! Leo tushinde lakini pia tuwaandae vijana ili kesho pia tushinde. Halafu mourinho akimpiga bench najua mtaanza kulalamika humu oooh haamini vijana tutaanza kumsema kama kwa Fella ila saivi kila mtu kajificha! Tumuamini mwalimu wetu, tunae mwalimu bora sana kama kile kikosi cha msimu ulopita angepewa hata Zidane nawahakikishia tungeshuka nacho daraja!

Mkuu ni mizuka tu kwa timu yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom