Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Substition za mourinho so far zimeleta matokeo positive rashford ajiangalie sana asitake awe anafunga muda wote
Martial he has been briliant anajua kuna kufunga na kutoa assist
Well done well one so far team iko sawa kabisa ila namba saba naona wameaua kuiua moja kwa moja sa hvi
Dogo ilibidi awekwe chini ya Giggs amuelekeze nini anatakiwa kufanya kama alivyofundwa Rooney enzi hizo. Anaweza kupotea mapema ilhali ana kipaji kizuri akawa kama Januzaj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mi Nahisi Pale Anapoingia Fellain Kucheza Kiungo Cha Mkabaji Panahitaji Mtu Nafikir Pana Pengo Pale Pakitimia Pogba Akacheza Mwanzo Mwisho Nyuma Ya Lukaku Mkhitaryan Na Martial Au Perisic Timu Itakuwa Kamili Au Lile Shimo La Herrera. Ila Hadi Muda Huu Kuna Kitu Mourinho Anakionesha Kwenye Sub.
 
e3397bb3b7d6951f009ec23392cd0865.jpg
 
Dogo ilibidi awekwe chini ya Giggs amuelekeze nini anatakiwa kufanya kama alivyofundwa Rooney enzi hizo. Anaweza kupotea mapema ilhali ana kipaji kizuri akawa kama Januzaj

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mechi moja ndio mnatoa hukumu kwa huyu 19yrs old? Hebu acheni ushabiki wa ajabu ajabu!
 
leo nimeamini, wageni wetu wanapendaga kuja wakati wa majanga tu. ila usijali tutafanya kama ulivyoagiza.
Kikao cha dharura kimefanyika na kutathmini uwakilishi wenu penye misiba ya jirani jinsi ulivyotukuka na namna mnavyoifaya kazi hiyo kwa weledi mkubwa kamati imeamua jukumu hilo liendelee kuwa kwenu bila kuomba kibali wala kupangiwa cha kusema.
 
Back
Top Bottom