Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Noted
I hope Rooney is in
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
I hope Rooney is in
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hahaha naona barca wanacheza kama westham kabisaKwa mpira wanaonesh madrid leo eti unalikuta jitu linatusema MAN u Kufungwa 2-1 na madrid
Rooney ndani na tik taka kali sana aliowazibua man cityNoted
I hope Rooney is in
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Tuache utani Mourinho noma bhana...alitunisha msuli kabisa...jamaa anajua sana game progress...Bayern alikula 6, juve akala 4, barca amekula 5, duh...Kwa mpira wanaonesh madrid leo eti unalikuta jitu linatusema MAN u Kufungwa 2-1 na madrid
Man Utd tuko vema kiasi tunaweza kuthubutu kupambana na yeyote kwa sasa.
Absolutely right.
Tuache utani Mourinho noma bhana...alitunisha msuli kabisa...jamaa anajua sana game progress...Bayern alikula 6, juve akala 4, barca amekula 5, duh...
Skumbuki ila ka muda kamepitaHa ha ha hii imetokea lini mkuu
Wale mabwege madrid walibahatisha tu mziki wetu ni advanced singeli kuucheza ujiandae kuvunjika miguu