Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tuache unafki jana pogba kazingua sana..alikuwa ovyo sana..

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda kwa upande wako, lakini kwa upande wangu alicheza vizuri na aliweza kushirikiana vizuri na Matic pale katikati japokua walikua outplayed na Madrid.
Jana tulikua na viungo wawili pale kati, mpaka Fella alivyoingia akaongezq nguvu zaidi.
 
Kulikua na haja sana ya kutumia "pace na trickery" ya Martial kwenye winga mojawapo hasa kipindi cha pili...bahati mbaya sana kocha alikua na mawazo tofauti.
NB: Timu nyingi zinammezea mate Anthony ila hathaminiki OT, hadi Lingard yuko mbele yake kwenye pecking order!
Mourinho,good coach. Poor man management

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema jana humu mtu akatoa povu kama shampoo imekutana na nywele za singasinga.

Sent From Heaven
 
930fec98f0dfd6d3f115b010e220045e.jpg
 
Nilisema jana humu mtu akatoa povu kama shampoo imekutana na nywele za singasinga.

Sent From Heaven

Hata Mkhitaryan Hana Sababu Ya Kumtupa Pembeni Chezesha Namba 10 Kule Martial Huku Rashford Mbele Lukaku Hata Kipind Cha Pili Tulipoanza Kuonesha Uhai Baada Ya Mkhitaryan Kuingia Kat Pogha Out Mata In Hamna Shida Hapo
 
Hivi morinyo kwanini anamuweka martial benchi?

Morinyo anatuletea utaratibu wa kupak bas si tumekuwa Chelsea?

Poor morinyo aondoke atuachie timu yetu


mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Bora niliefungwa na Real Madrid , ila mtu unafungwa na timu yenye ukata kuanzia wa makombe mpk akili arsenal
 
Back
Top Bottom