Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ha ha naona kampeni ya Mourinho out itaanza mwezi January

Nakumbuka enzi za Furguson Man u hua wanakua na kasi sana wakati wa ku attack hadi utapenda

Ukitaka Kugundua Unafiki Wa Mashabik Kipind Kama Hiki Wakat Mzee Yupo Mara Mnabebwa Mara Hamna Timu Leo Unakumbuka Enz Mtaongea Meng Tu Timu Bado Ngumu Tu Subir Uone
 
hii ndo timu inayotegemewa kuleta ushindani kwenye ligi ....

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo Hiyo Ilikupiga Old Trafod 2-0 Bila Hata Ya Kupata Shorts On Target Labda Kama Umejisahaulisha Kila Mech Na Plan Yake Liver Alipigwa Na Burnley Lakin Huyo Liver Alikufumua Kwako Darajan Mpira Ndivyo Ulivyo.
 
fc516be8f807e771c4bf575bb6641f3c.jpg
d3b5ae2cac4f9bd9709527423f129602.jpg
dd6436864e0383478b14dc1c82b1e892.jpg
 
Manchester Kwa Kikosi Alichopanga Kocha Wetu Bila Makamanda Wawili Baily Na Rojo Bado Tumewasumbua Mabingwa Wa Uefa Back To Back Tumpe Credit Kocha Wetu Kajitahid Sana Madrid Inawachezaj Waliokaa Pamoja Sio Chini Ya Miaka 4 Tunaonekana Kubadilika Kidogo.

Scholes Alisema Anampa Mourinho Madirisha Matatu Ya Usajili Kuipata Timu Ya Ushindani Ni Kweli Tunamapungufu Upande Wa Washambuliaji Wa Pemben Na Upatikanaj Wao Ni Shida,,, GGMU.
 
Mimi ni mshabiki wa Arsenal lakini kisport Nina machache ya kusema kuhusu game ya Jana

Nimeona kuna watu wanalalamika sana kuhusu lingard kupata fursa over Martial,jibu ni jepesi tu aina ya uchezaji wa lingard Hata angekua Madrid angepata namba simply because he always deliver na anaonekana kutoridhika at all hao ndio wachezaji aliokua akiwatumia Hata mzee Ferguson Kua muda wote anahisi hayuko perfect so he has to pull up to deliver ili yeye asiwe chanzo cha lawama.

Watoto wengi wa juzi watamsifu Sana pogba lakini wale Man Utd of all time watanielewa hapa kuhusu Huyu Pogba Kua anaikost timu Sana simply because hanyumbuliki, karick ni mzuri lakini Matic ni mzuri zaidi Matic anauwezo mkubwa Sana kwenye kuleta matokeo kuliko karick Matic anapeleka mpila Sehemu usika naweza Sema timu Kama Manchester wapenda matokea Matic mmelamba dume lakini Bado Niko Na Pogba tatizo kubwa alilo nalo pogba anapoza mashambuliz Kwa kukaa na mipila pasipo maamuzi ya haraka ndio anafanya marking lakini Sio kwa ubora huo ndio maana at the end wasio elewa Wanaangalia watu Kama kina Fellaini ila believe me bora umchezeshe Fellaini over Pogba sababu anamaamuzi atakufanyia marking na defensive utacheza kwa amani. mourinho alipatia kumchezesha Rashfod na Fellaini aliesubir mipila mirefu lakini Kama alitaka matokeo ya uhakika Kwanini alimuacha Mata nje akamtoa mtu kama Herrera wakati LIMZIGO lipo linazunguka muda wote (Pogba) pale ni Fellaini Rashfod Mata while una Matic kunashida gani hapo pogba nje herrera atapokezana na Fellaini Mata anafanya kazi aliyowafanyia Isco Rashfod anapiga mipila mirefu imkute Lukaku Fellaini duara Matic anapiga pasi za maangamizi

Lakini kitacho mkost mourinho ni ubinafsi wake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom