Mimi ni mshabiki wa Arsenal lakini kisport Nina machache ya kusema kuhusu game ya Jana
Nimeona kuna watu wanalalamika sana kuhusu lingard kupata fursa over Martial,jibu ni jepesi tu aina ya uchezaji wa lingard Hata angekua Madrid angepata namba simply because he always deliver na anaonekana kutoridhika at all hao ndio wachezaji aliokua akiwatumia Hata mzee Ferguson Kua muda wote anahisi hayuko perfect so he has to pull up to deliver ili yeye asiwe chanzo cha lawama.
Watoto wengi wa juzi watamsifu Sana pogba lakini wale Man Utd of all time watanielewa hapa kuhusu Huyu Pogba Kua anaikost timu Sana simply because hanyumbuliki, karick ni mzuri lakini Matic ni mzuri zaidi Matic anauwezo mkubwa Sana kwenye kuleta matokeo kuliko karick Matic anapeleka mpila Sehemu usika naweza Sema timu Kama Manchester wapenda matokea Matic mmelamba dume lakini Bado Niko Na Pogba tatizo kubwa alilo nalo pogba anapoza mashambuliz Kwa kukaa na mipila pasipo maamuzi ya haraka ndio anafanya marking lakini Sio kwa ubora huo ndio maana at the end wasio elewa Wanaangalia watu Kama kina Fellaini ila believe me bora umchezeshe Fellaini over Pogba sababu anamaamuzi atakufanyia marking na defensive utacheza kwa amani. mourinho alipatia kumchezesha Rashfod na Fellaini aliesubir mipila mirefu lakini Kama alitaka matokeo ya uhakika Kwanini alimuacha Mata nje akamtoa mtu kama Herrera wakati LIMZIGO lipo linazunguka muda wote (Pogba) pale ni Fellaini Rashfod Mata while una Matic kunashida gani hapo pogba nje herrera atapokezana na Fellaini Mata anafanya kazi aliyowafanyia Isco Rashfod anapiga mipila mirefu imkute Lukaku Fellaini duara Matic anapiga pasi za maangamizi
Lakini kitacho mkost mourinho ni ubinafsi wake .
Sent using
Jamii Forums mobile app