kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,350
Daaa hizi biashara bana saa nyingne znaleta udharirishaji. Huyo Bale Man U wamemuhitaji kwa muda mrefu sana lakini anawadengulia na sasa amekuwa spana mkononi ndio Madrid wanataka kuturushia na yeye ndio anataka kuja kujipumzisha man u. Shenzi zake sana na simpendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app