Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Angel Di Maria!Watu wanavyokuza bifu inashangaza sana.hivi man u imewahi nunua mchezaji toka Madrid?
angel dimaria alikuwa ni mbovu?Mkuu hakuna kitu sipendi kama Madrid kuwamwagia Man utd wachezaji wao wasio wataka tena kana kwamba man utd ni timu ya hadhi ya chini sana. Hii tabia nilidhani mou atakomesha ila kama akiwachukua,atakuwa ameniangusha balaa!
Bale and ronaldo go to hell!
Sent using Jamii Forums mobile app
RutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaChristiano Ronaldo aanza kujinoa tayari kutukabili jnne kwenye super cup