Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Kuna mwekezaji bilionea wa kichina anataka kuinunua Manutd
Teh teh tehMembers wote kwa heshima toeni likes za kutoka kwa mwanachama wetu Ruta anatupa updates mtu muhimu sana karibuni wote
Shukrani sana tupo wote naona musimu umesogeaAaah amerudi karibu sana ruta
Sawa nimerudi kiongozi na jnne live updates kama kawa
Am back nimerudi kila siku updates tuko sote
Kwema moudgulf nyumbani ni nyumbani
Yea! We are the biggest club in the world
Mmmmh itawezekana kweli namm nimeona ii kitu na vp ataweza kweli Ku drive team kama ManchesterKuna mwekezaji bilionea wa kichina anataka kuinunua Manutd
WE JAMAA KWANN ULITUKIMBIA LKNShukrani sana tupo wote naona musimu umesogea
Sasa cna haja kutafuta habari kwa mawengeeSawa nimerudi kiongozi na jnne live updates kama kawa
Nitatoa likes kwa members wote humu we tupia tu updates unakula likes zangu zote! GGMU!
Kweli mkuu yeyote anaetuletea updates tusijivunge kwenye likes..ili kuboresha Uzi.Nitatoa likes kwa members wote humu we tupia tu updates unakula likes zangu zote! GGMU!