Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,071
Kuna rumours UNITED wanataka kumnunua Gareth Bale kwa €90.. Binafsi Naona Bale kuja Manchester ataharibu mambo kwa sababu ya injuries zake ..Ligi ya England ni ngumu sana kuliko LA LIGA yan huku nahc ndo atakuwa anaumia kila wiki

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app

