Endelea kuwa na furaha boss..Nikiwa kama shabiki wa team ya Manchester united nimekuwa na furaha kipindi hiki cha preseason
Sent From My Nokia Ya Tochi
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuwa na furaha boss..Nikiwa kama shabiki wa team ya Manchester united nimekuwa na furaha kipindi hiki cha preseason
Sent From My Nokia Ya Tochi
Hao ndio maua yetu humu ndani kiukweli tunawapenda sana ladies hawaTulikumisi pamoja na everlink,ila cute b aliwawakilisha vema football ladies wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Real Madrid watafikiria kumuuza winga Gareth Bale, 28, kwenda Manchester United, lakini ikiwa tu kipa David De Gea atahusishwa katika mkataba huo. (Don Balon)
Hili sio tusi kweli??
Inasemekana bale amemwambia Modric anataka kurudi England kujiunga na MUFC..
Mimi simkubali bale kiviile!
Waje tu watatufaa...Bale , ronaldo hatuwataki pale OT
Wameshapita kwenye kilele cha ubora wao yaani sahv wanashuka chini sidhani kama tutakuwa tumepatia kuwachukuaWaje tu watatufaa...
Hebu waache uzwazwa bale kwa de Gea si matusi hayo kwa kiwango gani hasaReal Madrid watafikiria kumuuza winga Gareth Bale, 28, kwenda Manchester United, lakini ikiwa tu kipa David De Gea atahusishwa katika mkataba huo. (Don Balon)
Hili sio tusi kweli??
Inasemekana bale amemwambia Modric anataka kurudi England kujiunga na MUFC..
Mimi simkubali bale kiviile!
Uko sahihi,ila Bale kama si majeruhi yuko vizuri.Ronaldo pia japo umri umesonga bado yuko katika ubora,kumbuka Ibra licha ya kuwa 34+ bado alitufaa...Wameshapita kwenye kilele cha ubora wao yaani sahv wanashuka chini sidhani kama tutakuwa tumepatia kuwachukua
Mkuu hakuna kitu sipendi kama Madrid kuwamwagia Man utd wachezaji wao wasio wataka tena kana kwamba man utd ni timu ya hadhi ya chini sana. Hii tabia nilidhani mou atakomesha ila kama akiwachukua,atakuwa ameniangusha balaa!Uko sahihi,ila Bale kama si majeruhi yuko vizuri.Ronaldo pia japo umri umesonga bado yuko katika ubora,kumbuka Ibra licha ya kuwa 34+ bado alitufaa...
Kwa mtazamo wangu huwa naamini IBRA ni miongoni kwa wachezaji walioicost sana Man U msimu uliopita ila alikuwa anabebwa na mwalimu tu. Aliifanya timu imtegemee yeye halafu akawa anakosa magoli mengi, na alikuwa mzito sana akaifanya timu isiwe na kasi wala mbinu mbadala.Uko sahihi,ila Bale kama si majeruhi yuko vizuri.Ronaldo pia japo umri umesonga bado yuko katika ubora,kumbuka Ibra licha ya kuwa 34+ bado alitufaa...
Hilo la Real Madrid kuifanya Man Utd kama klabu ndogo nami nalipinga.Ila Bale sio mchezaji mdogo,akiwa hana majeruhi yuko vizuri sana.Isipokuwa sharti la kwamba lazima De Gea ahusike hilo ni la kipuuzi.Ronaldo akiwa tayari,kwa mtazamo wangu nalo ni heri sana kwa chama letu...Mkuu hakuna kitu sipendi kama Madrid kuwamwagia Man utd wachezaji wao wasio wataka tena kana kwamba man utd ni timu ya hadhi ya chini sana. Hii tabia nilidhani mou atakomesha ila kama akiwachukua,atakuwa ameniangusha balaa!
Bale and ronaldo go to hell!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sehemu hilo lina ukweli.Kwa upande mwingine mnyonge mnyongeni tu ila haki yake apewe Ibra kabla ya kupata majeruhi ametoa mchango kwa klabu zaidi ya alivyotarajiwa...Kwa mtazamo wangu huwa naamini IBRA ni miongoni kwa wachezaji walioicost sana Man U msimu uliopita ila alikuwa anabebwa na mwalimu tu. Aliifanya timu imtegemee yeye halafu akawa anakosa magoli mengi, na alikuwa mzito sana akaifanya timu isiwe na kasi wala mbinu mbadala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba,mchezaji husika tulimhitaji akiwa kwenye kiwango bora kabisa akaichagua Madrid dhidi yetu. Na kwa sasa Madrid wanamuuza ili kupata fedha ya kumnunua mchezaji mzuri zaidi yake. Swali linakuja,hivi man utd haiweza kujengwa na wachezaji wasio dropout za Madrid? Au kushindana kuwanunua kutoka klabu mbali na Madrid?Hilo la Real Madrid kuifanya Man Utd kama klabu ndogo nami nalipinga.Ila Bale sio mchezaji mdogo,akiwa hana majeruhi yuko vizuri sana.Isipokuwa sharti la kwamba lazima De Gea ahusike hilo ni la kipuuzi.Ronaldo akiwa tayari,kwa mtazamo wangu nalo ni heri sana kwa chama letu...
Umejenga hoja vizuri mkuu. Nimekubaliana nawe.Kama vipi tupambane na hali yetu tugharamie ili tumsajili Mbappe...Tatizo ni kwamba,mchezaji husika tulimhitaji akiwa kwenye kiwango bora kabisa akaichagua Madrid dhidi yetu. Na kwa sasa Madrid wanamuuza ili kupata fedha ya kumnunua mchezaji mzuri zaidi yake. Swali linakuja,hivi man utd haiweza kujengwa na wachezaji wasio dropout za Madrid? Au kushindana kuwanunua kutoka klabu mbali na Madrid?
Naamini bale akiwekwa sokoni na umri na pamoja na injuries zake,hakuna klabu kubwa zaidi yetu itamtaka kwa kiasi hicho cha pesa sana sana atakuwa ndio anakwenda westham huko.
Bado siwataki magalasa ya Madrid pale OT.
Sent using Jamii Forums mobile app