Nemanja Matic underwent a medical at Carrington this morning (@TuftyMUFC)

[HASHTAG]#mufc[/HASHTAG] and Chelsea have agreed a £40m fee for Nemanja Matic [sky]

Hizi habari mnazitoa wapi? Au mna watu inside Carrington nini maana naangalia hapa reliable sources wanaonesha jamaa wapo close kusajili, ila bado hawajafikia makubaliano
 
Hizi habari mnazitoa wapi? Au mna watu inside Carrington nini maana naangalia hapa reliable sources wanaonesha jamaa wapo close kusajili, ila bado hawajafikia makubaliano
Si unaona hapo kwenye mabano kuna sources za taarifa. Hao ni waandishi wanaominika,na raha ya rumours ni kutoka kabla ya official club announcement. Wamefanya hvyo kwa lukaku, Lindelof, Morata nk.
 
Line up
Screenshot_2017-07-30-19-01-09.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu..! Unaonekana unamkubali sana jembe Marcus rojo.
Kinouma yani huyu jamaa huwa anafanya niipende man u mara mia zaidi anajituma uwanjani ni fighter sana, saivi namwombea apone haraka aise!
Kuna mwingine anaitwa Ander Herrera nae ni moja ya watu nawaelewa sana pale OT
 
Jitahidi kutafuta comments zangu humu,zipo nilizoandika kuhusu umuhimu wa kusajiliwa kwa Matic katika kikosi chetu this season.

Na nikafanya na analysis,ila kwa kifupi tunamuhitaji Zaidi Matic na ni bonge la mchazaji.

Katika kikosi chetu tuna upungufu wa mchezaji namba 6,yaani defensive midfielder aliyekamilika kiasili.

Kwa sasa tunaye Carric tu ila naye umri umeenda sio wa kumtegemea kupambana katika michezo yote,Matic anaweza kutusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom