Kiukweli mi naona timu yetu bado ina safari hasa nikiangalia wachezaji wetu tulionao na hao tunaowawania,na nikipima na vikosi vya wenzetu kama Man City, Bayern,Real, Barca, PSG n.k naona bado tuna average squad coz Martial hakuwa na consistency, mkhitaryan nae bado alikuwa haja settle vema, Lingard huwa haeleweki, beki 3 hadi sasa haijakaa poa, beki 2 ni Valencia tu anayeweza cheza kama full backs wanavyopaswa yani kupanda na kushuka, beki wa kati Jones na smalling hawakuwa na msimu mzuri + Lindelolf haja impress kabisa pre season. Nadhani Lukaku ni usajili mzuri, tukimpata na Perisic itakaa poa sana pia. Nadhani tungempata na Sergei Aurie pamoja na matatizo yake ingesaidia,au hata fabinho. Vingnevyo naona kabisa tutaendelea kucheza kwa kuvizia vizia,na tutapocheza na timu kubwa zingne tutaendelea kuonekana inferior.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi yule mtoto wa Bayern Renato Sanchez c anapatikana, Kwa nn tusimuongeze yule? Naamini ana kiwango kikubwa,Kyle Bayern anaweza kuwa kakosa namba kwa sababu ya mfumo lakini pia na aina ya wachezaji anaocheza nao ktk nafasi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo anajua yani siku ile kacheza na Chelsea aliwavuruga kati pale! Yeye anataka kuondoka ila angependa aende inter ila tukimpata itakua kweree sana
 
Hivi yule mtoto wa Bayern Renato Sanchez c anapatikana, Kwa nn tusimuongeze yule? Naamini ana kiwango kikubwa,Kyle Bayern anaweza kuwa kakosa namba kwa sababu ya mfumo lakini pia na aina ya wachezaji anaocheza nao ktk nafasi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Renato Sanches huenda akatua AC Milan au Chelsea kwenda kuziba pengo la Matic.Mourinho anataka mchezaji mzoefu toka EPL option zake zilikuwa (Dier & Matic) na usajili siku hizi ni mgumu sana
 
Nemanja Matic is getting closer to Man United. The player is ready to accept. Talks ongoing. [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG] [HASHTAG]#transfers[/HASHTAG]
 
Fabio  @FabioPendolino

[HASHTAG]#ManchesterUnited[/HASHTAG] and [HASHTAG]#Chelsea[/HASHTAG] close to an agreement for [HASHTAG]#Matic[/HASHTAG] despite #Juventus' interest Gianluca Di Marzio :: Manchester United - Matic close to an agreement despite Juventus' interest

12:53 PM - Jul 30, 2017



Manchester United - Matic close to an agreement despite Juventus' interest

Matic-United are close to an agreement. The Serbian midfielder has decided that he should play for the Red Devils next year, happy to be under José Mourinho's orders once again si...

gianlucadimarzio.com

33 Replies

123123 Retweets

6666 likes
 
Chris Winterburn

@cmwinterburn

Looks like Nemanja Matic will be a Manchester United player by the back end of this week. Focus will now turn to the fourth player.

1:03 PM - Jul 30, 2017

99 Replies

3636 Retweets
 
78908efadb4feff7b05951269d24f093.jpg
 
DUUH MATIC MBONA NAONA KAMA GALASA WAKUU AU MMNAONAJE KWAANAE MJUA VZURI NA ATA TUFAA VP

Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi kutafuta comments zangu humu,zipo nilizoandika kuhusu umuhimu wa kusajiliwa kwa Matic katika kikosi chetu this season.

Na nikafanya na analysis,ila kwa kifupi tunamuhitaji Zaidi Matic na ni bonge la mchazaji.

Katika kikosi chetu tuna upungufu wa mchezaji namba 6,yaani defensive midfielder aliyekamilika kiasili.

Kwa sasa tunaye Carric tu ila naye umri umeenda sio wa kumtegemea kupambana katika michezo yote,Matic anaweza kutusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom