Kante yupi tena Mkuu..?Nasikia fundi wetu kante anakichafua huko ni balaa
Never happen bro!Fella
Hiyo sio mimi nlieleta hizi taarifa, ni transfer rumors zinazotrend kwe vyombo vya habari vya michezo, halafu pia kuna wachezaji ukisikia unaweza ukasema never happening mfano herrera lakini sio fella,kwa fella anything can happen.Never happen bro!
Hallelujah!!!!!! Uinuliwe baba wa mbinguni.Cenk Ergun (Galatasaray director): "We are in talks with Fellaini. We have made an approach, we are close."
Eeh Mola naomba hii isiwe tetesiMarouane Fellaini will sign a 5 year contract with Galatasaray (A spor)
HahahahahaEeh Mola naomba hii isiwe tetesi
Hicho ndo kitu man u hatutaki yani mtu anamech zake zakuperform,nyingine anazngua faida ipo wapi?mtamkumbuka babu fella. Binafsi naomba abaki kuna mechi huwa anapiga mpira mwingi mno..
Mkuu umesema kweli yaani tuwe na mchezaji wa kujaribia kama ni mechi zake au hapana..... Tunahitaji mchezaji wa mechi zote labda itokee bahati mbaya siku hiyo mchezo sio bahati yake.Hicho ndo kitu man u hatutaki yani mtu anamech zake zakuperform,nyingine anazngua faida ipo wapi?