1501160897093.png

Ivan perisc bado tunamnyatia tu..?
 
Jana nimeangalia marudia ya mechi kati ya Man United na Barcelona, nilichogundua Manchester wanahitaji kujaza nafasi hizi au wachezaji wa aina hii.
1- Beki namba 3 mwenyekasi maana Blind na Damian sio namba 3 hasilia.
2- Wapate mchezaji mwenye uwezo binafsi wakati timu imeshindwa kupenya ngome ya team pinzani mfano kwa sasa wapate mchezaji kama 1- Neymar 2- Sanchez 3- Messi 4- Harzad au wachezaji wanafanana kama hao timu itakuwa ime balance sana.
Hayo ndio maoni yangu kwa nilivyangalia hiyo mechi.
 
Sanches na Hazard siyo wa hiyo kaliba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu na winga mmoja matata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom