OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Ondoa matumaini kabisa kwa Matic ..hawezi kuja man u!Ngoja tuone,naona kama MUFC imeshakubali na Matic ameshapewa mkono wa heri na tajiri
Duuh voda wahuni mb 2114 jana zimeshindwa maliza pre match analysis+dk 90 za mechMi natumia voda mb 800 namaliza game yote
wizi wa karne huo nakumbuka mwaka mb300 tu kupitia halotel zilitosha kumaliza mechi nzima leo hii sijui hali ipoje huko.... jana nimeweka mb600 tigo nimeangalia kipindi cha pili tu zimekata bora ligi ianze nilipe jelo niangalie mpira kuliko kununua vocha ya 2000 na bado mechi siimalizi yoteDuuh voda wahuni mb 2114 jana zimeshindwa maliza pre match analysis+dk 90 za mech
yeah n kweli, ila jana fella hakuwa aggressive, sijui coz ni pre-seasonKuna watu wanaishi kwa kukalili,huyo jamaa anayesema Fellain alizingua ukimuuliza alizignua wapi hatokupa jibu sahihi. Fellain anapiga mwingi na anajituma sana,ila tatizo mistake zake zinaonekana sana kuliko za wengine. Yani akizngua Fellain hakuna anayemezea,kila mtu lazima aongee.
yaani kwa tigo mbona voda anakaa, tigo n next level kwenye ishu za kupiga mb za watu+dkwizi wa karne huo nakumbuka mwaka mb300 tu kupitia halotel zilitosha kumaliza mechi nzima leo hii sijui hali ipoje huko.... jana nimeweka mb600 tigo nimeangalia kipindi cha pili tu zimekata bora ligi ianze nilipe jelo niangalie mpira kuliko kununua vocha ya 2000 na bado mechi siimalizi yote
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Imetokea tuyaan inaoneka huwa ishu ya penalt haifanyiwi kaz kabsa pale.hahaha
sema ilikuwa ni kichekesho flan hivi pia
Ile alivyowakusanya mabeki 3 wa madrid naakafanikiwa kuwatokaJaman nimeshawahi kuandika humu ..martial ni mchezaji hatari sana hata rushford haoni ndani ....
Nawapenda wote lakini Mimi binafsi martial ni bora kuliko rushford
Martial yupo furenga mkuuIle alivyowakusanya mabeki 3 wa madrid naakafanikiwa kuwatoka
Mi nimecheki tu game nimetumia mb 1000 hazijaisha natumia hadi saivi!Duuh voda wahuni mb 2114 jana zimeshindwa maliza pre match analysis+dk 90 za mech
Ed woodward alipaswa amkabidhi perez zawadi ya fax machine nahisi ingelikuwa bora zaidiKipindi cha mapumziko, Woodward na Pérez walibadilishana 'gifts'. Wakati Pérez akitoa jezi ya Real Madrid iliosainiwa na wachezaji pamoja badge ya timu, bwana Woodward yeye alimpa 'silver plaque' ikiwa na tarehe ya mchezo.
Smile la Woodward linafurahisha sana
View attachment 549047View attachment 549048 View attachment 549049
Hii habari so njema. Hawa akina Baily na Lindolf tukicheza na timu zenye wachezaji mithili ya Suarez au Neyma watpigwa red wote.Hawana utulivu, ni mawenge sana na wanatumia nguvu bila uwiano mzuri na akili.CHRIS SMALLING anakaribia kujiunga na club ya WEST BROM kwa ada ya pound millioni 10.
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Mi nimecheki tu game nimetumia mb 1000 hazijaisha natumia hadi saivi!
Hahaha not to that extent mkuuEd woodward alipaswa amkabidhi perez zawadi ya fax machine nahisi ingelikuwa bora zaidi