Kweli sajilini maana juzi mmegeuka uchochoro mnafungika kizembe sana, wekeni ukuta wa haja pale nyuma msipitike!
Hata wakiweka danilo wawe wanakumbuka Lukaku,Rashford,na mick bado wapo watasepa tu na kijiji.Kweli sajilini maana juzi mmegeuka uchochoro mnafungika kizembe sana, wekeni ukuta wa haja pale nyuma msipitike!

kwa maoni yangu morinho amwachie Martial tuchukue jembe VarettiPSG wanamtaka Martial ahusishwe katika mkataba wa kumtaka Verratti
Uzi gani huo Mkuu namimi nikauchungulieYuko kwenye ule uzi wa kugawa like. Ule uzi ni kama madawa ya kulevya,ukiingia hautoki![]()
Ciung mkono hojakwa maoni yangu morinho amwachie Martial tuchukue jembe Varetti
Mkuu Martial ni hazina aiseekwa maoni yangu morinho amwachie Martial tuchukue jembe Varetti
Mkuu hauko serious aiseeekwa maoni yangu morinho amwachie Martial tuchukue jembe Varetti
Hawawezi kukubali!kwa maoni yangu morinho amwachie Martial tuchukue jembe Varetti
Jiulize kwanza kwann timu zinamnyatia sana huyo martial kila timu inasema waunganishiwe martial ile ni hazina sana asee wameona..kwa maoni yangu morinho amwachie Martial tuchukue jembe Varetti
Mkuu kama una mb tumia mobodro