john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
Kinoma aiseee mashabiki wa man u nawakubali mpo macho hamlali zingekuwa ni zile team zingine sijui chelshit washalala hahahahahahahahaa naona Martial kakufurahisha mpaka unampa na goli.
Kinoma aiseee mashabiki wa man u nawakubali mpo macho hamlali zingekuwa ni zile team zingine sijui chelshit washalala hahahahahahahahaa naona Martial kakufurahisha mpaka unampa na goli.
Fatilia mtanange live hapa
Huu ni uhalifu kama uhalifu mwingine wowote mkuu, lazima akamatwe akapimwe mkojo!Hii tabia ya Martial kutesa mabeki sio nzuri kabisa
hakuna kulala , hahaa ila mie siendelei tena kuangalia hiki kipindi kimoja kinatosha ngoja nilale .Kinoma aiseee mashabiki wa man u nawakubali mpo macho hamlali zingekuwa ni zile team zingine sijui chelshit washalala hahahaha
Hahahahaaaaa mkuuu ili chama kubwa wa2 wake awawez isha ata wengi e wakulala.... Ao kna Chelsea amna ki2Kinoma aiseee mashabiki wa man u nawakubali mpo macho hamlali zingekuwa ni zile team zingine sijui chelshit washalala hahahaha
Hahahaha noma sanaHuu ni uhalifu kama uhalifu mwingine wowote mkuu, lazima akamatwe akapimwe mkojo!
Download periscope playstore AF search mechiKaka hebu post tena hiyo link kwangu haifunguki.
Au niandikie hiyo app unayo angalia kwa smartphone
Hata wakibadilisha tushapata burudanihakuna kulala , hahaa ila mie siendelei tena kuangalia hiki kipindi kimoja kinatosha ngoja nilale .
ila natamani ushindi uwe wetu matokeo yasinadilike. amen
Halafu tupo active kinoma ukienda uzi wa chelshit utafikiri kuna msiba wamefiwa! Hapa hatoki mtu!Hahahahaaaaa mkuuu ili chama kubwa wa2 wake awawez isha ata wengi e wakulala.... Ao kna Chelsea amna ki2
Sent using Jamii Forums mobile app
Tushapata goal bora la mashindano ya icc,Hata wakibadilisha tushapata burudani
kwani chelsea nao wanacheza leo????Hahahahaaaaa mkuuu ili chama kubwa wa2 wake awawez isha ata wengi e wakulala.... Ao kna Chelsea amna ki2
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wale amna ki2 ndio maana tunawazinguagaHalafu tupo active kinoma ukienda uzi wa chelshit utafikiri kuna msiba wamefiwa! Hapa hatoki mtu!
Asante mkuu tuko pamoja now. Kitu mwake kabisa!Wenye smartphones waangalie kupitia apps ya startimes ipo playstore kuna channel inaitwa world football ndio wanarusha live