Beki za kati pale naona wangetengeneza combination ya rojo na bailly..rojo yupo makini sana,na pia anakamia kweli kweji na anajiamini sio kama smalling na jones..huyu lindelof bado kwa kwel tusiwe wanafki..Rojo anarecover from injury ningependa akiwafit apewe nafasi acheze na bailly pale kati
Sent using
Jamii Forums mobile app