mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,696
Yaaaah...!!nipo live MAN U TV saivi.
Hata hii ya king'amuzi cha Azam inaonyesha au ni ile mobdro?Yaaaah...!!nipo live MAN U TV saivi.
weken magoli jaman na sie tuburudike , au mnapata result kuupitia live score?Lukakuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Yaaahh..!!mkuu bonge la goli lukaku anajua salute kwakempira aliofunga lukaku ulikuwa unatoka nje kabisa lakini kaweza kuukunja ukaingia golini vizuri, great lukaku!
Wachezaji wa Bacca so wazuri UnitedKwa hiki wanacho kifanya MADRID sio kitu kizuri kabisaa. Sisi tuliwapa CR7 wenyewe wanatunyima MORATA.
Tumeamua kumchukua ROMELU AMBROSI LUKUMBESA BOLINGO LUFUFU. Bila ya kupenda lilikuwa chaguo la Z.
Wallah kuanzia leo tunasema tunahamia BARCELONA.
Asee watu bhana![]()
ESPN wanarusha live u tubeweken magoli jaman na sie tuburudike , au mnapata result kuupitia live score?
Sent using Jamii Forums mobile app