Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Martial????
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Martial ni namba 11.
Martial????
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Zlatan jee?
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Na valencia vip tena namba yake..???
![]()
![]()
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Usajili si umeisha??Bado hajapewa mkataba.
Mpaka asaini mkataba, kwa sasa sio mchezaji wa Man United.
Usajili si umeisha??
Au ni yeye alikuwa hataki kusign wakuu?
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Ahaaaa, hivyo msimu huu unaoanza anaweza asicheze.Alikataa kusaini,alisema hawezi kulipwa wakati achezi. Anategemewa kuwa fit mwezi wa 11 au 12.
.Wanaogopa kutuuzia silahaHivi hawa Madrid wanajielewa kweli maana wao wametunyima kwa makusundi james wakamtoa kwa mkopo ,baado wamsmetufanyia najisi kwa morata harafu Wao Leo wanamtaka tena degea hivi ,kwann uhusiano wa timu yetu na Madrid uanadorola sana cku hizi ,juzi LA wakawa wangombea uwanja wa mazoezi
Ahaaaa, hivyo msimu huu unaoanza anaweza asicheze.![]()
.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Tunacheza EPL, UEFA,FA,...Wazee wenzangu hivi tukimpata matic na perisic na sisi tusitoe wachezaji,sio kwamba kutakuwa sana na mkanganyiko kwenye kuchagua kikosi au kutakuwa na ufinyu wa nafasi kwa baadhi ya wachezaji?..wachezaji kama lingard,carrick, fellaini,young,mata,martial,mhitaryan kocha atawapaje nafasi?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Did he propose this for real?Alikataa kusaini,alisema hawezi kulipwa wakati achezi. Anategemewa kuwa fit mwezi wa 11 au 12.
Anafukuzia deal huko marekaniZlatan jee?
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
16 years old boy
Ile ile number yake,huyo dogo aliyepewq nn.8 sio senior player.Khe! Mata namba ngapi sasa
De Gea mdomoni mwa RealWazee wenzangu hivi tukimpata matic na perisic na sisi tusitoe wachezaji,sio kwamba kutakuwa sana na mkanganyiko kwenye kuchagua kikosi au kutakuwa na ufinyu wa nafasi kwa baadhi ya wachezaji?..wachezaji kama lingard,carrick, fellaini,young,mata,martial,mhitaryan kocha atawapaje nafasi?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app