Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-07-14-08-07-56.png
 
Hivi hawa Madrid wanajielewa kweli maana wao wametunyima kwa makusundi james wakamtoa kwa mkopo ,baado wamsmetufanyia najisi kwa morata harafu Wao Leo wanamtaka tena degea hivi ,kwann uhusiano wa timu yetu na Madrid uanadorola sana cku hizi ,juzi LA wakawa wangombea uwanja wa mazoezi
 
Na sisi tuwanyime tu wasilete ujinga au tunapandisha dau waje.
 
Back
Top Bottom