Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Wakenya wanavyokazana hii gemu utafikiri kuna kusajiliwa
Mkuu "the next Giggs" amechemsha mapema hivyo. Atakayefuata msimu ujao ni "the next Henry" aka Martial. Bado hujanunua jezi ya donkey "the next Giroud" aka Lukaku?Huyu dogo naona hakuwa na zali na Man Utd
Halafu kumbe bado ana muda mrefu tuu wa kucheza... ana miaka 22
Sent from my GT-I8190N using JamiiForums mobile app
Pole kwa mkungu wetu bimkubwa muda wake wa kuishi duniani umekwisha
Pole kwa mkungu wetu bimkubwa muda wake wa kuishi duniani umekwisha

Wataking'oa sasa.
Hawa wa Mwakyembe hawawezi kung'oa ingekuwa waliletwa na cdm Bashite angekuja fastaWataking'oa sasa.