Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Sawa mkuuAnafukuzia deal huko marekani
Hizo no ni zamotoVipi namba 7 na namba 10 ..
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Kweli kabisakesho asubuhi natamani ifike nione tumeiva kiasi gani..
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Japo natamani usajili wa perisic ukamilikekesho asubuhi natamani ifike nione tumeiva kiasi gani..
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Pogba hapendi kuwadominated....sijui kama utanielewa..hahaha...Wachezaji wengi wa man utd wamempost Rooney kumtakia kheri ...ila pogba mmmhh
Pogba af hanaga uhusiano mzuri na Rooney nime note hicho kitu kitambo
kila mchezaji CONTE akimtaka na nyie mnanyanyua pua zenu kumtaka ...shiiiit!!! Lukaku tumewapa mara boukayoko naye tenaa ...daaah tumieni akili zenu msipende dandia maamuzi ya timu nyingine. Na Matic atuwapi
pumbaaaavuuu......Matic labda mumchore chini. .alafu mumbandueeWazee wenzangu hivi tukimpata matic na perisic na sisi tusitoe wachezaji,sio kwamba kutakuwa sana na mkanganyiko kwenye kuchagua kikosi au kutakuwa na ufinyu wa nafasi kwa baadhi ya wachezaji?..wachezaji kama lingard,carrick, fellaini,young,mata,martial,mhitaryan kocha atawapaje nafasi?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
kwa kiwango chake hawezi cheza klabu mbovu kama man.Mkuu hauna jukwaa lenu? Au unajipendekeza?Mnatembelea nyota ya Chelsea![]()
![]()
kila mchezaji CONTE akimtaka na nyie mnanyanyua pua zenu kumtaka ...shiiiit!!! Lukaku tumewapa mara boukayoko naye tenaa ...daaah tumieni akili zenu msipende dandia maamuzi ya timu nyingine. Na Matic atuwapi
![]()
![]()
![]()
pumbaaaavuuu......
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Sinaa...Mkuu hauna jukwaa lenu? Au unajipendekeza?
Sinaa...
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Mi nadhani kosa sio letu. Kosa ni lenu!! We unamtaka mchezaji alafu hela huna unategemea nini???Mnatembelea nyota ya Chelsea![]()