Still Morata ni priority ya United licha ya ofa mbili kukataliwa na Madrid huenda Raiola anawapa presha Chelsea ili wamsajili Lukaku.Mourinho anarudi toka likizo Jumamosi na United wanaanza pre-season next weekYawezekana Lukaku akasajiliwa united.....hii ina maana tunaachana na Morata.....£100 milion
Michael Carrick hawezi kuwa nahodha kwa sababu ni mchezaji kirakaHatimaye Rooney anaondoka,kuna tetesi Michael Carrick atakuwa Nahodha mpya na Ander Herrera atakuwa nahodha msaidizi
Everton wanataka tulipe nusu ya hiyo mishaharaRooney akiondoka United itakuwa imepunguza wage bill kwa kiasi kikubwa kwa mwaka 2017
Rooney -260,000
Ibrahimovic-230,000
Schweinsteiger-200,000
Depay-90,000
Schneiderlin-100,000
Tunawahitaji wote wawili hatutaki mzaha safari hiiYawezekana Lukaku akasajiliwa united.....hii ina maana tunaachana na Morata.....£100 milion
Kama ni kweli Mourhnio kachemsha. Carrick hatarajiwi kucheza mechi nyingi musimu huu ndiyo maana tunasajili akina Matic na wengineo. Defensive midfieldersBREAKING NEWS:Carrick is United's new captain & Herrera is the vice-captain. [sun]
Still Morata ni priority ya United licha ya ofa mbili kukataliwa na Madrid huenda Raiola anawapa presha Chelsea ili wamsajili Lukaku.Mourinho anarudi toka likizo Jumamosi na United wanaanza pre-season next week
Tunawahitaji wote wawiliMara Mia tutoe Pesa ndefu kwa lukaku maana heka heka za EPL anazijua haswa kuliko morata yani Madrid wanalipiza kisasi nje nje let's wait
Herrera will be captain when Carrick doesn't start. which will be many games.Kama ni kweli Mourhnio kachemsha. Carrick hatarajiwi kucheza mechi nyingi musimu huu ndiyo maana tunasajili akina Matic na wengineo. Defensive midfielders
Inawezekana ikawa ili musimu ujao ampe Pogba unahodha nionavyoHerrera will be captain when Carrick doesn't start. which will be many games.
Hata mi pia siafiki Carrick kupewa unahodha ,ila ni habari ya the sun inaweza ikawa udaku kama kawaida yao.
I hope so. Morata and Perisic is more likely to happen.Inavyoelekea ndani ya mastaa 48 usajili wa Morata, Lukaku na Ivan Perisic kukamilika huku Rooney akirudi Everton bila malipo alikotoka! Labda dau la Lukaku kupungua kupooza hili
Morata ni £70m while Lukaku ni £100 bora hata angebaki Zlatan kuliko LukakuMara Mia tutoe Pesa ndefu kwa lukaku maana heka heka za EPL anazijua haswa kuliko morata yani Madrid wanalipiza kisasi nje nje let's wait
Sio kitu kipya Gary Neville miaka ya mwisho kabla hajastaafu alikuwa Captain Nemanja Vidic alikuwa Vice Captain kwakuwa GNeville alikuwa majeruhi muda mwingi so mechi nyingi Vidic ndio alikuwa Captain baadae Neville alivyostaafu Vidic akawa ndio Captain.Michael Carrick hawezi kuwa nahodha kwa sababu ni mchezaji kiraka