Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-07-05-00-16-25.png
 
Sioni shida saana kwa usajili kujivuta,,,
Ikumbukwe wanaofanya michakato namaanisha Ed na Josee pia wanahitaji wachezaji wapya kuboresha timu na mapato mengine kibiashara,,,.
Soko limekua gumu mwanzoni ila naamini litakua zuri mwishoni,,.
Real wanataka kutupiga kizembe kabsa,,, hivi Morrata anaewekwa benchi na Benzema wa leo ni wa kulipa £79??
Anataka mda mwing wa kucheza na pale Real hicho kitu hatakipata,, lazima atauzwa tu..
Tuwe wapole mambo yatakua sawa japo kibishi sanaa,.
 
Shida ipo hapo ni mzuri ila si kwa bei hiyo wanayotaka kutupiga kizembe tunahitaji mfungaji na Morata anafaa ila jamaa wanataka kutukomoa.
 
Jose kamnunia Ed kutokana na usajili kusuasua. Vikwazo kila kona kuanzia madau ya kutisha, kufungiwa Atletico usajili na ushindani wa vilabu bila kusahau uhakika wa namba
 
Tumekwama kwenye usajili.....timu zinapandisha value za wachezaji hovyo hovyo.
 
Hata hilo mie nimeliona eti mtu kama Lukaku anauzwa 70 kweli?
Basi Ronaldo alionewa kuuzwa 90
 
Back
Top Bottom