RedDevil
JF-Expert Member
- Apr 30, 2009
- 2,367
- 1,524
Wanajua saizi timu ikirudi chini kujinasua ni baada ya miaka!! Lazima wachukue tahadhali. Kama sisi tumeshang'atwa na nyoka, wanajua tukipanda pale juu kuondoka si leo wala kesho. Hivyo timu nyingi zinajaribu kupiga mkwanja mrefu.Tumekwama kwenye usajili.....timu zinapandisha value za wachezaji hovyo hovyo.