Dah...naona washabiki wote wa Mtibwa (Arsernal) na Moro United (Chelsea) na watanizetu wa Jadi Simba (Liverpool) wako upande wa Barca........hii kikombe akichukua ManU sijui watajificha wapi............
Barcelona 1 Man U 1, Second half ndo inaanza.Matokeo niaje jamani..??!!
kama kuna mtu anayefahamu website inayoonyesha gemu la man na barca anitumie link tafadhali, hapa nilipo sina access ya TV
Kama Barca watashindwa hii game,basi watajutia nafasi walizokosa na ambazo wanaendelea kuzikosa...Magoli ya wazi,kama Arsenal.
Vumilia tu,maumivu ni kawaida.Meza tu.Hapa wanancheza mabingwa acha kutaja timu za mchangani