Wacha1 hivi hukuiona thread ya champions league au Barcelona mpaka uje humu utujazie picha za wachezaji wa Barcelona na marefa, basi tu ndio mbwembwe zenyewe?
Naona leo mmetupania kweli kweli...haya wakati wenu wa kujidai huu..!...HA HA HA! kule uswazi wana msemo "Mtajibeba!"...mtajibeba kwa saana leo...Wacha1 'mwaga mboga' babaa'ke...la mgambo limelia, wakumbushe!!!
Hatoki mtu
leo wala hatumwi mtoto
sokoni!!!!