Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja na Inter Milan kutikisa kiberiti lakini matendo yao yanawasaliti.

Kwanza wamenunua wachezaji wanne na wanaongezea kununua midfielders wawili huku by 30th June wasipouza na kuwa na benki hela ya uhakika watapigwa faini za FIFA FAIRPLAY

Nionavyo hatumalizi weekend Inter Milan itamruhusu Ivan Perisic kujiunga na Manutd before deadline yao ya 30th June


View attachment 531159View attachment 531160
unazungumzia ac millan au inter millan?
 
Screenshot_2017-06-27-09-18-04.png
 
Kipa umbele sasa ni Ivan Perisic na Morata tukiwasajili hao muziki watausikia kwenye bomba
 
James Rodriguez kesha kukubaliana kitita na Manutd ugomvi ni Real Madrid inadai Euro 80-90mill kwa mchezaji hakuchaguliwa hata top 18 kwenye champions league final

Bei ilipaswa isizidi Euro 50 mill
 
Usajili wa Matic hauna uhusiano wowote na usajili wa Fabinho ambaye pamoja na kuweza kucheza nafasi ya defensive midfielder lakini anapendelea zaidi right back na kutoa ushindani mkubwa kwa Valencia
 
Back
Top Bottom