Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona vijana wametulia hawana pressure kabisa, ushindi tu leo.
 
Napenda kikosi cha leo kiwe kama ifuatavyo
  1. Van de Sar
  2. Fabio
  3. Evra
  4. Vidic
  5. Ferdinand
  6. Carick
  7. Valencia
  8. Giggs
  9. Hernandez
  10. Rooney
  11. Park
Substitution
Smalling,Rafael,Oshea,Fletcher,Anderson,Nani,Scholes,Owen,Berbatov
 
Fugerson ana ma suprise sana, hiki ndio kikosi stahili lakini usishangae Oshea ndani ya 1st 11
 
Kama tutaweza kwenda mapumziko hawajatufunga basi tutakuwa na nafasi kubwa kuwafunga,kitu cha msingi ni kumbana Dani Alves kwani mara nyingi ndio analeta mashambulizi ya Barca.Tuna defence nzuri kuliko wao na wao wana midfield kali kuliko sisi
 
Yeah hiki ndio cha muhimu sana leo.Defence yako sio nzuri kabisa ila pale kati ndio wapo vizuri sana so tukiwadhibiti kwa hiyo basi ni powa kabisa....
 
Wakuu japo kuwa baadae nitakuwa namshangilia Messi anavyowaadhibu kama nyie mlivyokuwa mnamshangilia tulipo cheza nao, nimeona nije mapema kutenda haki ya uwana michezo kwa kuwatakia kila la kheri hapo baadae.

Kwahio wakuu wote wajamvi hili kila la kheri leo na mfanikiwe kuvuna mlicho kipanda.
 
Kama tutaweza kwenda mapumziko hawajatufunga basi tutakuwa na nafasi kubwa kuwafunga,kitu cha msingi ni kumbana Dani Alves kwani mara nyingi ndio analeta mashambulizi ya Barca.Tuna defence nzuri kuliko wao na wao wana midfield kali kuliko sisi

Yeah hiki ndio cha muhimu sana leo.Defence yako sio nzuri kabisa ila pale kati ndio wapo vizuri sana so tukiwadhibiti kwa hiyo basi ni powa kabisa....

Hahahahaha!!!!!!!! Hizi ni dalili za kupark bus leo!
 
Hapa ndio utawapenda KBC! If you are there, just tune it On. This game has been given some importance of itself. Sijui hizi station zetu za Bongo vipi?
 
TEAM NEWS SNAP Man Utd start with Wayne Rooney and Javier Hernandez up front, with no place for Darren Fletcher. Dimitar Berbatov is not even on the bench - Michael Owen is.
 
The Barcelona line-up in full, then: Valdes; Alves Mascherano Pique Abidal; Xavi Busquets Iniesta; Pedro Messi Villa. Subs: Oier, Puyol, Bojan, Keita, Afellay, Adriano, Thiago
 
A%20S-rose.gif
 
Ile kushuka katika Basi tu... kuanzia Fergie wote hukauna amani.....Yaani leo kichapo Lazima.....
 
Ndoo inang'aaa.......Mida si mirefu Barca wananyanyua Kwapa bana........
 
Back
Top Bottom