Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-06-17-07-29-52.png
 
Yeah sure maana CR 7 wasasa hatakuwa na tofauti kubwa na Zlatan.Pia soka la laliga lipo soft na linaendana na umri wake ukilinganisha na EPL.

Sana sana atakuja kuziba nafasi za madogo,hana lolote yuko kibiashara zaidi nadhani ni ujinga uliopitiliza kumnunua mchezaji wa 32 hatuwezi kumuuza tena.
 
Josee kaamua kupimana ubavu na perezi, not such bad at the end wataafikiana,,si morrata wala de gea mwenye thamani tajwa,,
Kwangu mimi kiungo mkabaj anatakiwa aje bakayoko, tallisca, reynato, fabinho au dier na sio matic, siping uwezo wake ila hua siwakubal holding wanaotumia left foot zaid, bora kiduku wa roma

Kwahiyo bora Dier kuliko Matic? Dier kabisa? Kweli unaitakia mema Man United?
 
Namkubali sana ronaldo ila umri umekwenda sana kwa pilika pilika za EPL tutajipa hasara madrid kwenyewe anabebwa na mafundi pale kati labda aende PSG akale pensheni kule ataendelea kusumbua
 
Back
Top Bottom