Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Spurs waache uchoyo tuwape Smalling watupe Dyer khalafu tuwaongezee ugali kidogo kuwapooza
Kama Ronaldo atarudi Manutd sababu ni pamoja na:-
a) Ushawishi wa Sir. Alex Ferguson kwenye bodi ya wakurugenzi
b) Kitendo cha Ronaldo kumweleza Sir. Alex Ferguson mipango yake ni dhahiri anataka kurudi kundini
c) Pamoja na sakata la kodi, baadhi ya wapenzi wa Real Madrid walianza kumzomea Ronaldo na kujiona hapendwi kuwa kichocheo kikubwa kuihama Real Madrid
d) Real Madrid kuwa tayari Kumchukua Mpabbe ambaye sharti la kwenda Real Madrid ni kuhakikishiwa namba na aidha kama Ronaldo atahama basi Mpabbe atajiunga nao
e) Ili wamuuze Ronaldo, Real Madrid wakubali dau chini ya £130mill vinginevyo hauziki
f) Klabu za PSG na Manutd bado zinamwona Ronaldo ana soko la kuinua thamani za vilabu vyao
g) Image rights za Ronaldo kumilikiwa na Nikes huku Manutd wako na Adidas ni mfupa utahitaji majadiliano pevu kabla ya ufumbuzi kupatikana
h) Mourhnio kutomsajili striker hadi dakika hii pengine alikwisha kuongea naye juu ya hili. Pia Mourhnio hupendelea uzoefu kuliko ukinda na ndiyo maana akina Samuel Eto, Ibrahimovich n.k aliwasajili kwa sababu uzoefu kwake ni kila kitu na Ronaldo fits the bill
Mim huaga siamin hawa wachezaji wakubwa haswaa wa real madrid wanapenda kuitumia manutd kimaslahi zaidi mfano mzuri ni sergio ramos mwaka 2015...hata ronaldo ndo hivyo hivyo..tununue wachezaji wetu wanaotufaaRonaldo ni kiboko ataka Real Madrid wamlipie kodi na faini zote anazodaiwa kama akitiwa hatiani kama sharti la kubaki Real Madrid
Kumbe hana mpango wa kuondoka ila anataka kulipwa zaidi na PSG & Manutd anazitumia kama chambo cha mashinikizo
Kweli mkuu,yaani wanatuona utd kama timu ya waarabu au ndio tunachipukia. Yote haya kayasababisha Moyes na lvgMim huaga siamin hawa wachezaji wakubwa haswaa wa real madrid wanapenda kuitumia manutd kimaslahi zaidi mfano mzuri ni sergio ramos mwaka 2015...hata ronaldo ndo hivyo hivyo..tununue wachezaji wetu wanaotufaa
Kweli mkuu,yaani wanatuona utd kama timu ya waarabu au ndio tunachipukia. Yote haya kayasababisha Moyes na lvgMim huaga siamin hawa wachezaji wakubwa haswaa wa real madrid wanapenda kuitumia manutd kimaslahi zaidi mfano mzuri ni sergio ramos mwaka 2015...hata ronaldo ndo hivyo hivyo..tununue wachezaji wetu wanaotufaa
Hili la kwanza ni BIG NO hata madrid wapo adidasTatizo jingine la Ronaldo siyo rahisi kurudi kwa sababu zifuatazo:-
1) Image rights zake ziko kwa NIKE wakati Manutd wako na Adidas
2) Real Madrid wanadai kitita cha £350mill kwa mchezaji mwenye umri wa 32
3) Timu itayumba kwani Pogba kujiunga Manutd aliahidiwa timu kujengwa kwake au around him na Ronaldo akija atadhani yeye ndiye kila kitu kama zamani
4) ....jaziliza