Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Kwa kumkorofisha kwa hii kashfa ya kukwepa kodi usije utashangaa, Ronaldo anampigia simu Mourhnio na wakapiga kireno na kukubaliana Ronaldo arudi nyumbani Manutd!
Kwenye hii game,pogba alinifurahisha sana..
Pogba alipiga Mpira mwingi aisee.Kwenye hii game,pogba alinifurahisha sana..
Hakika mkuu..Pogba alipigwa Mpira mwingi aisee.
Nadhani msimu huu tutafaidi utaalamu wake.