Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-06-17-19-25-38.png
 
Naomba hizi Rumours ziishie kuwa Rumours kwetu,Ronaldo now aende kumalizia mpira wake Ligi 1 ya Ufaransa au China na Marekani,hana cha kupoteza katika Ulimwengu wa soka,kavunja rekodi chungu mzima zilizokuwepo na kuweza zake binafsi na kuzivunja pia.

Kuja Manchester United kama mchezaji mahiri sitegemei,hatokuwa na Njaa tena kama ilivyokuwa Mwanzo,kwa Sasa ana maamuzi mawili.

1 - Kuendelea kubaki Real Madrid ili kuendelea kuweka records na kutengeneza nafasi yake kama Mfalme wa Bernabeu au

2. Kuhamiashia makali yake katika Ligi za Ufaransa na Ujerumaini ambazo hakucheza hadi sasa ili kuidhihirishia dunia ya Mpira juu ya Makali yake au

3. Kwenda China na Marwkani kumalizia mpira wake huku akiingiza Mkwanja mrefu Zaidi.

Ila kwa sasa kwa Ngazi za Club Ronaldo hana cha kupoteza hamna asichoshinda,ameshinda kila kiti katika mashindano ya ngazi ya Club.

Man United kwa sasa inabidi kumtengeneza Ronaldo mwingine.

Tunaye Pogba kwa sasa na kama Morata or Persic mmoja wakija mmoja wapo anaweza kuja kuwa mchezaji bora wa Dunia kutokea Man United ila itategemea na mipango ya Kocha.

Mara nyingi Mourihmo huwa anaangalia Ushindi wa Timu kutoka kwa timu nzima haa mini Katika kutengeneza mchezaji mmoja mmoja kwa Kukuza kipaji chake,hatoi nafasi kwa mchezaji mmoja mmoja.

Tushinde ila lazima timu iwe na Star wake atakayeamua matokeo ndani ya Uwanja,atayeamua Ushindi timu inapokuwa katika hali mbaya,Msimu uliopita tulikosa mtu wa aina hii,tulicheza kitimu Zaidi kwa kufuata maelekezo ya kocha,hatukuwa na mchezaji wa kuamua matokeo ndani ya uwanja pale mipango ya kocha inapofel.

Tunahitaji hawa wachezaji hasa Persic na Morata kwa sasa kuja kusaidiana na Mikhtaryian katika kufanya maamuzi.
 
Kwahiyo bora Dier kuliko Matic? Dier kabisa? Kweli unaitakia mema Man United?
sijui kwanini Watu wengi hawaioni kazi ya Matic ndani ya Uwanja,Matic ni holding midfielder aliyekamilika kwa dunia ya sasa ya soka.

Matic haihitaji kiungo mwingine kulinda Viungo washambuliaji katika holding area.

Yaani ninachotaka kuelezea hapa dunia ya sasa ya mpira ina upungufu mkubwa Sana wa wachezaji namba sita waliokamilika,viungo aina ya Akina Roy Keen,Viera Makelele.

Now utaona katika timu nyingi eneo la holding midfield linachezwa na wachazaji wawili.

Ila Kumpata Matic ni kusolve tatizo tulilo nalo kwa muda mrefu na itatoa nafasi kwa Pogba na Herera kushambulia na kuipa timu uhai mkubwa sana katika mashambulizi.

Kumbuka tumicheza msimu uliopita tukiwatumia Pogba na Herera kama sehemu ya Viungo wa ulinzi kwa muda mrefu na kuwapa kazi kubwa washambuliaji na timu kukosa mipango katika mashambulizi.

Nitakuwa mmoja wa mashabiki Wenye furaha tukifanikiwa kumsajili Matic.

Tutatisha sana mana tutaongeza Viungo washambuliaji na Viungo hawa kubadilika na kuwa washambuliaji so tutaongeza pia nafasi za magoli na idadi ya magoli.

Sina tatizo la yeye kutumia mguu wa kushoto,na hili ndio linalotofautisha kati yake na Viungo Wengine huu upande kwake huwa na nguvu sana.
 
Hatumhitaji Manutd has moved on from Ronaldo tantrums. He can destabilize the team too
 
Matic swafi sana ninamkubali
 
Umeelezea vizuri kabisa,Matic ni moja ya box to box mido bora pale Epl. Anakaba,anashambulia vizuri,uyo Eric Dier kakosa namba mbele ya Wanyama na hana uwezo wowote uwanjani.
Juzi kazungushwa na Pogba kama mtoto mdogo halafu watu wanataka asajiliwe.
Bora Fellain kuliko uyo Eric Dier.
 
Tatizo jingine la Ronaldo siyo rahisi kurudi kwa sababu zifuatazo:-

1) Image rights zake ziko kwa NIKE wakati Manutd wako na Adidas

2) Real Madrid wanadai kitita cha £350mill kwa mchezaji mwenye umri wa 32

3) Timu itayumba kwani Pogba kujiunga Manutd aliahidiwa timu kujengwa kwake au around him na Ronaldo akija atadhani yeye ndiye kila kitu kama zamani

4) ....jaziliza
 
Back
Top Bottom