Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Aubemiyung keshaenda PSG mkuuMorrata bado??
Kna mchezo Perez anataka kutuchezesha,, Bahati mbaya sana ukumbini ymo Jose Mourinho,,, nina hakika JM hatacheza mwondoko wowote wa Perez,,,
wakizingua anamfata Belloti ama Aubameyang,,
Conte, anadai hajapewa fungu la usajiri na urasimu wa kuonana na bwana roman abromovichWadau nimesikia juux2 hizi taarifa sijasikia vizuri,ni conte au kante anaetaka kusepa chelsea?na sababu ni nini?
Acha atunishe misuli,tuone mwisho wake.Conte, anadai hajapewa fungu la usajiri na urasimu wa kuonana na bwana roman abromovich
Anderson Talisca kama akijiunga Manutd midfield itakamilika
Ni moto musimu ujaoRaha ya huyu apate mmaliziaji mzuri wa cross zake kama morata hivi..