Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wasifu wa Victor Lindelof

Career

Having started his career at Vasteras SK in the lower tiers of Swedish football, Lindelof signed for Benfica as a 17-year-old in December 2011.

It took him almost two years in the reserves before he finally made his first-team debut in October 2013. Still, however, his appearances for the senior side were few and far between until last season, when injuries gave him his chance to impress as Benfica competed for, and eventually won, the title.

Having not featured at all until January, Lindelof was thrown into action as a second-half substitute against Moreirense, and has since gone on to establish himself as a key part of their starting XI.

His form also saw him break into the Sweden squad for Euro 2016, a year after helping the Under-21 side to their European Championship win, and he started all three games as they crashed out at the group stage. He has since gone on to win 11 caps, and scored his first goal against Bulgaria in a 3-0 win last month.

At one stage last January a loan move to Middlesbrough, then in the Championship, was even touted as a possibility by his agent, but such has been his rise in the past 12 months that Old Trafford could be his destination instead in this winter window.

Style of play

Built like a traditional centre-back and standing at 6ft 2in, Lindelof also possesses the mobility and technical ability to play as a right-back, as he has done on several occasions at international level.

He also has an ability to read the game that is reminiscent of Rio Ferdinand, rarely conceding fouls and picking up very few yellow cards.

According to reports in Portugal, Mourinho has continued to have his scouts watch Lindelof this season, and he is understood to be particularly impressed with his speed as well as his defensive capabilities, seeing similarities between the Swede and Raphael Varane, who he managed at Real Madrid.

Did you know?

That Lindelof is known as "The Iceman" at Benfica due to his confidence and composure. Thrust into the side at such an important part of the season, Lindelof's ability to remain cool under pressure was a vital component of their run to the Portuguese title last season.

What he said

"It's not like I go out on a football field and am afraid. It's about playing your game and daring to get stuck in. I know which qualities I possess and I dare to exert myself. I have great confidence and know what I am capable of on a football field."

What they said

Zlatan Ibrahimovic: "I think Victor is doing great things, he is playing good for Benfica, he gets a lot of responsibility for the national team now, he is growing.

"Is he good enough for United? I think he's good enough for the big clubs out there. It's up to him what he wants. Whatever he chooses will be good for him. I know he is hot on the market so let him make the right choice, what fits him good."

Former Sweden manager Lars Lagerback: "I think Lindelof can become a world-class player. I like his attitude, he is fast and effective player with good understanding of the game. Sweden have a great prospect for the future in him."
 
Man United are paying €35m (£30.7m) for Lindelof. He was on a three-man list of centre backs José gave Ed Woodward - with M Keane & Van Dijk
Kwenye soko la usajili unatakiwa kuwa makini sana sokoni hasa kipindi hichi ambacho kila timu inataka kuchuma kutokana na uwepo wa mawakala kupandisha bei/thamani za wachezaji wao sokoni bila kuangalia thamani halisi ya mchezaji,ndio mana now kuna bei za ajabu sana kwa sasa.

Mfano bei ya Mbappe.

Ila kama ni mfatiliaji mara nyingi Mou amekua akisajili kiufundi Zaidi, haangalii mbwembwe za timu nyingine,kama wanavyofanya Madrid licha ya timu kuwa na uwezo wa kifedha na nguvu ya kufanya hivyo,Mou huwa anataka wachezaji wamatokeo au wanaume wa kazi Zaidi.

Timu yetu inahitaji wachezaji watatu au wanne tu msimu huu,beki wa kati,viungo wawili na mshambuliaji wa uhakika mmoja,kama soko litaruhusu ndio tunaweza kusajili washambuliaji wawili kwa bei nzuri.

Tuna wachezaji wazuri tu kikubwa ni Mwalimu kufanya kazi yake na kuwafanya wachezaji waliopo kubadilika na kucheza soka la Ushindani na la hali ya Juu,kuwatia matamanio ya kuwa wanaweza na kuja timu ya Ushindi na wao kuwa wachezaji wakubwa Duniani.

Nadhani tumeshamsajili beki tayari kwa kuziba pengo la namba 4 na 5 pale,kumbuka tayari tulikuwa tunao Baily na Marcus Rojo.

Hatuna mapungufu katika namba 2 na tatu.

Kwenye eneo la kiungo tayari tumemuongeza mkataba Carrick,tunahitaji kiungo mwingine Fundi namba 6 hata tukikosa bado eneo hili hatuna mapungufu makubwa sana ni kuwafanya waliopo kutisha Zaidi na kutengeneza Chemistry yao,Carrick, Herera,Pogba na Matta.

Right na left wingers pia tunahitaji mtu mmoja,ndio mana unaona tunaenda Inter kwa Persic ila tunao akina Mick,Lingard na mkongwe Ashley young.

Kwenye Ushambuliaji ndio kuna mahitaji makubwa sana now,hatuna Strickers kabisa Zaidi ya wasaidizi ,ndio mana unaona tunaenda sana kwa Morata baada ya Griezman kuchomoa na kuachana na Ibramohovic,that y kuwa safe Zaidi inalazimika kuendelea kuwa na Rooney kama akiba.

Hili eneo lazima tutoe mpunga wa maana hatuna jinsi mana timu zote tunazotaka kusajili washambuliaji wao wanajuwa mapungufu na mahitaji yetu katika eneo hili ndio mana unaona kuna ongezeko la bei pindi tunapoenda na hii yote husababishwa na mawakala wa wachezaji hao.

Tusipokuwa makini tunaweza kutoa pesa ndefu kama ilivyokuwa kwa Pogba,tulitoa pesa ile kwa sababu kuu mbili au tatu,1. Mahitaji ni kweli tulikuwa tunahitaji mchezaji wa aina ya Pogba kwenye kiungo,2. Pressure ya kuwa na mchezaji mkubwa kwa sababu ya kulinda mikataba na jina kibiashara na tatu kuwa na mchezaji mwenye jina na uwezo ndani ya uwanja kulinda heshima Yetu.

Sina Wasiwasi bado tunayo nafasi ya kuendelea kusajili,bado milango na mazungumzo yanafanyika lakini kwa kipindi hiki lazima kusajili wachezaji watatu hadi wanne.

Kisha kuangalia mapungufu Yetu baada ya match za round ya kwanza na kuja kusajili wachezaji Wengine wawili kwa ajili ya kukazia kikosi so far so good hatuna hali mbaya sana na kama tukipata mshambuliaji wa kariba ya Morata or Rodriguez tutakuwa vizuri Zaidi.

Madrid lazima wamuachie mshambuliaji mmoja sasa ili kutengeneza mazingira ya CR7 kuja kusimama kati next season kutokana na umri na ndio mana unaona wanamfukuzia Hazard kuja kuwa mrithi wake.

Na timu ya kutuuzia mshambuliaji ni Real Madrid sema ndio hivyo wanasikilizia Dau na kuona kama kuna uwezekano wa kutumia nafasi hii kumpata De Gea.

Any way ila usije shangaa ukisikia tunamsajili Matic.
 
Points zako ktk hii comment ni nzuri,ila hapo kwa Matic huyo jamaa simkubali kabisa,sijui kwanini.
 
Fellaini tegemeo kikosi kijacho sahau kuuzwa AF jamaa anapiga sana mzgo
Fellain alikuwa na mwanzo mbaya katika kikosi chetu mwanzo mwa msimu wake kutokana na majukumu aliyokuwa amepangiwa na Moyes,Moyes alishindwa kuendnana na Falsafa ya United na kuhamisha soka la Everton pale Old T na kumfanya Fellain kuwa mchezaji huru na mchezaji tegemeo bahati mbaya mfumo ule ulishindwa kuzalisha matunda yaliyotegemewa na kuifanya Man U kuwa na msimu mbaya kuliko misimu mingine yeyote tangu kuanzishwa kwake,lakini huyu alikuwa mchezaji tegemeo sana ndani Everton ya Moyes akicheza kama kiungo mshambuliaji na kufunga mabao muhimu yaliyoisaidia Everton.

Pia alikuwa na wakati mbaya kwenye kikosi cha LVG alishindwa kupata namba ya uhakika na kuzomewa.

Lakini ameanza kuimarika na kutoa matumaini mapya chini ya kikosi cha Mourihno, huyu tunaweza kumuita kama jini Mkata kamba pale mbele,akisaidia kufunga na kuzuia.
Guys hatuwezi kuifunga Madrid hii inayoanzisha mashambulizi yake kupitia kwa beki zake bila kuwa na mchezaji aina ya Fellain pale mbele na timu aina ya Madrid.

Tatizo kubwa kwa Mkubwa Fellain ni kutokuendana na kasi ya mchezo na hii ni game plan ya Kocha.

Ukiangalia game Yetu na Chelsea au Fainal na Ajax ameonekana akipoza sana mipira kwa kuzuia move za magoli au kupenda kucheza nyuma.

Kama tutacheza soka la kasi na la kushambulia basi tegemeo makubwa kutoka kwa Fellain.

Nitapenda kuona mabadiliko makubwa kiuchezaji kwa Mkubwa Fella na Pogba katika eneo la Ushambuliaji.
 
Points zako ktk hii comment ni nzuri,ila hapo kwa Matic huyo jamaa simkubali kabisa,sijui kwanini.
Basi tu kwa kuwa tuna Herera na Carrick lakini hii kazi ingeweza kufanywa na huyu Mtu,ndio Engine ya Chelsea tangu kurudishwa pale,tuliona kung'aa kwa Viungo wa Chelsea kwa kazi ya huyu mtu.

Dunia ya mpira kwa sasa ina Viungo wachache sana wa kariba ya Matic,viungo wakabaji waliokamilika,Madrid Wana Ton Krose
 
Kwenye Ushambuliaji ndio kuna mahitaji makubwa sana now,hatuna Strickers kabisa Zaidi ya wasaidizi ,ndio mana unaona tunaenda sana kwa Morata baada ya Griezman kuchomoa na kuachana na Ibramohovic,that y kuwa safe Zaidi inalazimika kuendelea kuwa na Rooney kama akiba.

Hili eneo lazima tutoe mpunga wa maana hatuna jinsi mana timu zote tunazotaka kusajili washambuliaji wao wanajuwa mapungufu na mahitaji yetu katika eneo hili ndio mana unaona kuna ongezeko la bei pindi tunapoenda na hii yote husababishwa na mawakala wa wachezaji hao.
umezungumza ukweli kuwa msimu uliopita tatizo letu kubwa lilikuwa kwenye ushambuliaji licha ya kwamba zlatan ibrahimovic alifunga magoli 26 msimu mzima.
hata kama zlatan ibrahimovic angelibakia basi tulipaswa kusajili mshambuliaji mwengine mwenye uwezo wa kufunga wastani wa magoli 25 kwa msimu.kwa hivyo kabla ya kutatua tatizo la ushambuliaji tumezidisha tatizo la ushambuliaji kwa kumuondoa mwanadamu aliyefunga magoli 26.
Hivyo basi kwa mtazamo wangu tunapaswa kusajili washambuliaji wawili ambao wana uwezo wa kufunga magoli 25 kwa kila mmoja au tusajili mchezaji mmoja mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 kwa msimu.
kivyovyote hatuna uwezo wa kusajili mchezaji mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 (messi na ronaldo) kwa msimu kwa sababu hawauzwi hata kama tutatoa mapato ya mwaka mzima ya timu ila tunao uwezo wa kusajili washambuliaji wawili na kama tutafanya hivyo basi tutakuwa ndio tumeondoa tatizo la ushambuliaji.
 
Hope tuwe na mapacha kama Dwight Yorke and Any Cole,hapa tunaweza kuwa na wastani wa goli 50 per seasons,afu nje tuwe na Rashford na Martial.

Nina asilimia Zaidi ya 70 Morata ni No. 9 wetu ajae sina shaka na hili na ndio mana tumeachana na Ibramohovic ili kutengeneza mazingira ya kupata Strickers wa kiwango cha Dunia.

Edwood yupo busy na simu na vikao vya mawakala wa hawa wachazaji kwa sasa huku financiers wetu wakiwa busy kuandaa dau kwenda kwa Club zao.
 
Fellain anajituma sana, sema critcs za pundits na wadau wengine wa mpira ndio zinasababisha jamaa aonekane sio akifanya mistake ndogo
Damu ya kunguni tu hana huo ubaya watu wanaompa pana game katubeba sana na kwa akili na ufundi wa mou kwa wachezaji tuliokuwa nao aliifanya kazi yake vizuri
 
Hope tuwe na mapacha kama Dwight Yorke and Any Cole,hapa tunaweza kuwa na wastani wa goli 50 per seasons,afu nje tuwe na Rashford na Martial.

Nina asilimia Zaidi ya 70 Morata ni No. 9 wetu ajae sina shaka na hili na ndio mana tumeachana na Ibramohovic ili kutengeneza mazingira ya kupata Strickers wa kiwango cha Dunia.

Edwood yupo busy na simu na vikao vya mawakala wa hawa wachazaji kwa sasa huku financiers wetu wakiwa busy kuandaa dau kwenda kwa Club zao.
Ya kipindi cha wale wamakonde tulikuwa vizuri huku super sub akiwa Ole gunnar na teddy ilikuwa Safi sana kama ulivyoainisha tatizo la kupata striker mwenye uwezo wa kufunga japo bao 35 kwa msimu ni muhali kumpata
 
umezungumza ukweli kuwa msimu uliopita tatizo letu kubwa lilikuwa kwenye ushambuliaji licha ya kwamba zlatan ibrahimovic alifunga magoli 26 msimu mzima.
hata kama zlatan ibrahimovic angelibakia basi tulipaswa kusajili mshambuliaji mwengine mwenye uwezo wa kufunga wastani wa magoli 25 kwa msimu.kwa hivyo kabla ya kutatua tatizo la ushambuliaji tumezidisha tatizo la ushambuliaji kwa kumuondoa mwanadamu aliyefunga magoli 26.
Hivyo basi kwa mtazamo wangu tunapaswa kusajili washambuliaji wawili ambao wana uwezo wa kufunga magoli 25 kwa kila mmoja au tusajili mchezaji mmoja mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 kwa msimu.
kivyovyote hatuna uwezo wa kusajili mchezaji mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 (messi na ronaldo) kwa msimu kwa sababu hawauzwi hata kama tutatoa mapato ya mwaka mzima ya timu ila tunao uwezo wa kusajili washambuliaji wawili na kama tutafanya hivyo basi tutakuwa ndio tumeondoa tatizo la ushambuliaji.
Umeongea vyema sana mkuu naimani belloti na morata ni watu sahihi katika hili suala
 
Ili kuimairisha kiungo bora fabinho atue ..fabinho ni mdogo just 23 ..na nguvu na speed pia ..ana pass nzur ..anaweza kucheza kama kiungo mkabaji na beki no 2 kama cover up ya valencia ..mm naona ndo litakua chaguo sahii kwa united

Kwa upande wa winger tukichukua persic itakua vzur. Atatosha kabisa

Foward akija morata ni vizur ..ila pia rooney umri umeenda itakua vzur tukichukua foward mwninge ila acwe wa bei kubwa ..

Mou ajitahid kumchezesha andreas perreira na subir sana kumuona akipiga kiungo pale
 
Back
Top Bottom