Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fellaini tegemeo kikosi kijacho sahau kuuzwa AF jamaa anapiga sana mzgo
Soma alama za wakati. Mourhnio anatafuta kasi na umaliziaji wa uhakika labda atakuwa reserve.

Huu usajili kama ukikamilika atakavyo Mourhnio ujue namba ni ya kubahatisha
 
07430c07afff440ca49a6514aff5c8d4.jpg
. Look like he is on his way deal to be announced soon
Typical 09.
 
Ili kuimairisha kiungo bora fabinho atue ..fabinho ni mdogo just 23 ..na nguvu na speed pia ..ana pass nzur ..anaweza kucheza kama kiungo mkabaji na beki no 2 kama cover up ya valencia ..mm naona ndo litakua chaguo sahii kwa united

Kwa upande wa winger tukichukua persic itakua vzur. Atatosha kabisa

Foward akija morata ni vizur ..ila pia rooney umri umeenda itakua vzur tukichukua foward mwninge ila acwe wa bei kubwa ..

Mou ajitahid kumchezesha andreas perreira na subir sana kumuona akipiga kiungo pale
Fabinho na Morata ndiyo dili akiongezwa na Perisic watatukoma musimu ujao
 
Dalili za mvua ni mawingu ...Unapoona Morata ana like habari ya kujiunga na Manutd ujue panapofuka moshi panaficha moto

Screenshot_2017-06-11-18-22-43.png
1497194579955.jpg
1497194605476.jpg
 
Back
Top Bottom