Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na hawa wanaopaswa kuondoka vipi mbona kimya?Smalling,carick,Jones,Rooney,Young,Mkubwa Fella...Hawa wote ni mizigo mizito pale trafford.
 
Ni kweli kiongozi unachosema,lakini sidhani kama ni sawa kuridhika na mzubao sababu majirani nao wamezubaa..ukizingatia mipango ya majirani haijulikani, ni muhimu sana kusajili mapema ili kocha apate nafasi ya kusoma na kupanga kikosi vema.
Griezmann was top target for Manchester United this summer baada ya ile deal kufa lazima Woodward & Mourinho wakae wajadiliane kuhusu alternative hawawezi kukurupuka then timu nyingi huwa haziuzi wachezaji wao mpaka wapate replacement ya wachezaji watakaowauza
 
Napata mashaka na uwezo wa msajili wetu sana...maana toka Mou kaanza kumpa list,anashangaa tu sioni alichofanya.
kuwa mvumilivu tu muda si mrefu utafurahi, ed woodward mbona yupo vizuri kwenye soko la usajili au umesahau kama kwenye utawala wake amesajili wachezaji wengi tu kama van persie, di maria,bailly,mata,herrera,pogba.
Ed-Woodward-724088.jpg
 
Na hawa wanaopaswa kuondoka vipi mbona kimya?Smalling,carick,Jones,Rooney,Young,Mkubwa Fella...Hawa wote ni mizigo mizito pale trafford.
Mpaka usajili wapya huwezi kusafisha safu ili usipofanikiwa kusaili basi udemedeme na ulionao.

Carrick kuongezewa mwaka mmoja, Rooney huenda akamalizia mkataba wake, Young, Fellaini huenda wakaishia
 
Hivi huyu Kelechi Ihenacho anang'ang'ania nini Mancity?

Mechi alizopangwa first eleven ni tano bado anaona ana future pale?
Au atakuwa akisali mmoja wa Aguero au Jesus aumie ili apangwe?
 
Back
Top Bottom