Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ni kweli kiongozi unachosema,lakini sidhani kama ni sawa kuridhika na mzubao sababu majirani nao wamezubaa..ukizingatia mipango ya majirani haijulikani, ni muhimu sana kusajili mapema ili kocha apate nafasi ya kusoma na kupanga kikosi vema.Sio kazi rahisi kama unavyodhani ili mchezaji asajiliwe lazima pande zote 3 (mchezaji,timu inayomtaka na timu anayotoka) zikubaliane.Real Madrid,Barca,Chelsea,Liverpool,Spurs,PSG,Juventus,AS ROMA,Napoli hakuna timu iliyofanya usajili hadi sasa