Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hii video ya Eric Bailly imenichekesha sana
Haaaa haaaa haaaa afu sijui kwanini Mou hatii Mkazo kwa Morata, ni rahisi kumpata Morata kuliko Griezman,ila sijajua msimamo wa Morata juu ya kuja Egland,tuna mahusiano mazuri na Real Madrid na inaonekana Zidane hana matumizi naye.
Naomba na kutamani sana Man U tumsajili Morata next season pale EPL patawaka.
Ni bonge moja la mchezaji ametulia hana paparaaa hapaniki yani utapenda akicheza.Hii video ya Eric Bailly imenichekesha sana
Ulikuwa usajili wa nguvu sana hongera zake MourhnioNi bonge moja la mchezaji ametulia hana paparaaa hapaniki yani utapenda akicheza.
Kweli mkuu...Ulikuwa usajili wa nguvu sana hongera zake Mourhnio
Hivi unajua japokuwa Ibra alikuwa top scorer katika timu yetu,lakini pia alikuwa anaongoza ktk kukosa sana magoli ya face to face na kipa?Ni zile doroo kwa vile hatufungi. No. 9 mwenye uwezo wa kufunga +20 ndiyo ushindi ulipo ninachukulia Ibra ataishia
Ninaomba takwimuHivi unajua japokuwa Ibra alikuwa top scorer katika timu yetu,lakini pia alikuwa anaongoza ktk kukosa sana magoli ya face to face na kipa?
Eric Bailly - The Beast - Crazy Defensive Skills 2016/17 HD
Ni sawa pia!I suggest Herera ndo awe captain..