Ila yule dogo angefaa sana...Duru zinasema Man United wamehamishia nguvu kwa washambuliaji wengine hasa namba 9.
Sijasema kwenye euro 2016. Anang'aa kicheza namba 6.
Mkuu unaongea kama shabiki zaidi,ila sio kama mpenda soka.Sijasema kwenye euro 2016. Anang'aa kicheza namba 6.
Unazungumza mwaka jana,mwaka huu au wakati Pep akiwa anafundisha Barca ?Sijasema kwenye euro 2016. Anang'aa kicheza namba 6.
Thamani ya Pogba wataijua musimu ujaoMkuu umeongea maneno mengi na umejitahidi kujielezea. Nimekubaliana na baadhi ya uliyoyaandika,ila hapo juu sijakubaliana na ww au niseme sijakuelewa. Ni kweli ni wazuri kuliko Pogba au performance zao za msimu huu ulioisha ni nzuri kuliko Pogba?
Wewe Belo wewe! Hizi post zako mbili zinaonyesha kama una mwa- under rate Busquet. Nakuambia na kukuakikishia siku ambayo Busquet hachezi barca inakuwa katika hali mbaya sana. Hata game ya kwanza dhidibya Juventus jamaa hakuwepo na ndio sababu ya kipigo cha pale turin. Angekuwepo juve walikuwa na kazi ngumu sana.Unazungumza mwaka jana,mwaka huu au wakati Pep akiwa anafundisha Barca ?
Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
Msimu ujao gani wakati jamaa ndio yupo kwenye peak yake ya uchezaji! Kama ndio gia kamaliza zote.Thamani ya Pogba wataijua musimu ujao
Haters gonna hate hiyo next season.Thamani ya Pogba wataijua musimu ujao
Jaribuni kuweka baadhi ya maneno rehani. Musimu ujao utawashangaza wengiGame performance msimu huu kina Dembele na Wanyana walikuwa juu kuliko pogba. Labda ameshindwa kuizoea epl. Pogba kabla ya kuja united alikuwa vizuri na sii kama tunavyofikiria. Kumbuka pogba alikuwa anazungukwa na ma midlle wazuri hivyo kumfanya naye angare. Maestro Andrea Pilo, Arturo Vidal, na Marcchisio.
Ukitaka kujua jamaa ni wakawaida angalia euro iliyopita. Alifunikwa hata na Musa Sissoko na kina Payet kule kwenye timu ya taifa.
Teh! Teh! Teh! Wapeni vidonge vyao wameze, wateme au hata kutapika shauri lao sisi ni mbele kwa mbeleHerrera kasema haendi barcelona sasa,kama hautaki nenda wewe.
Jaribuni kuweka baadhi ya maneno rehani. Musimu ujao utawashangaza wengi
Hivi hata luninga anayo? Isije ikawa tunamkuza vile!Mkuu ulikua unangalia Euro na mke wako nini? Pogba alikua anacheza 6 nyuma ya Matuidi . Ulitaka ang'are vipi kama Payet aliekua anacheza 11 au Sissoko aliekua anacheza 7?
Subira huvuta kheriMsimu ujao gani wakati jamaa ndio yupo kwenye peak yake ya uchezaji! Kama ndio gia kamaliza zote.
Mpabbe anaiota Manutd umesikia?hata mjenge vp kikosi chenu, nakuambai hamwezi kuwa na kikosi imara kupita Chelsea na City.
Kwani mlipo msajili Martial mlisemaje? Oooh new Thierry Hendry. Wapi sasa.Mpabbe anaiota Manutd umesikia?
Lucas Perez kachoka kukaa benchi.Mfano mashabiki wa Arsenal ndio wananichekeshaga sana. Hasira za kocha wao wanazileta kwa wengine. Sisi tulisajili Pogba kwavile tulikuwa tunamuhitaji katika timu,ila kocha wao alisajili Lucas Perez ili kuwanyamazisha,but hakuwa anamhitaji ndio maana yuko benchi tu.
Wazee wa Xhaka booom.
Busquet alingaa sana kipindi Pep akiwa kocha,Pep alitengeneza timu kupitia (Xavi+Busquet+Iniesta) baada ya kuondoka kiwango chake kimeshuka umri umeenda amechoka na hajawahi kuwa na back-up uliona game ya PSG alivyokimbizwa na kina Verrati .Mfumo wa Barca ulikuwa unamtegemea yeye so ukimbana yeye au asipokuwepo lazima timu ife.Mfumo wa Luis Enrique uliwategemea (Messi +Suarez+Neymar),Juventus waliweza kuwabana MSN so hata Busquet angekuwepo asingefunga goliWewe Belo wewe! Hizi post zako mbili zinaonyesha kama una mwa- under rate Busquet. Nakuambia na kukuakikishia siku ambayo Busquet hachezi barca inakuwa katika hali mbaya sana. Hata game ya kwanza dhidibya Juventus jamaa hakuwepo na ndio sababu ya kipigo cha pale turin. Angekuwepo juve walikuwa na kazi ngumu sana.
Busquet ni mchezaji mzuri tangu enzi za Gandiola, Vilanova, Tata Martino mpaka Lucho.
Pogba ana miaka 24Msimu ujao gani wakati jamaa ndio yupo kwenye peak yake ya uchezaji! Kama ndio gia kamaliza zote.
Ila nimejaribu kumfatilia Belloti naona nae kama ni wakawaida tu. Mfano magoli aliyofunga msimu huu.Sizani kama greizmann ni completely no. 9 striker! Kwangu nadhan belloti atafaa zaidi kama namba tisa...may be greizmann kama namba kumi au 11 au 7!! Pogba aendelee kama namba 8!