Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,508
- 911,249
Kila mifielder pale Epl aking'ara basi atalinganishwa na Pogba
Tukubaliane, kutokubaliana. Spurs msimu huu ulioisha ndio timu iliyokuwa na viungo bora kabisa. Musa Dembele, kwangu huyu ndio kiungo bora kwa sasa pale epl. Jamaa anapiga soka la nguvu,(physics) la akili. Anajua. Huyu kwa wale mliowahi kumwona Patrick Viera hawa jamaa wanafanana sana kwa kila kitu.Msimu huu kulikuwa na:
Kante vs Pogba
Wijnaldum vs Pogba
Xhaka vs Pogba
Fernandinho vs Pogba
Dembele vs Pogba
Kwa ufupi,Pobga ndio reference yao.
Kiungo yeyote anapolinganishwa na Pogba ni kwa sababu ya thamani ya pogba kwa pesa mlizotumia kumpata. Na si kwa uchezaji wa uwanjani. Dembele, Hererra, Wanyama, na hata kina Toure wa city ni wszuri kuliko huyo Pogba.
Mkuu umeongea maneno mengi na umejitahidi kujielezea. Nimekubaliana na baadhi ya uliyoyaandika,ila hapo juu sijakubaliana na ww au niseme sijakuelewa. Ni kweli ni wazuri kuliko Pogba au performance zao za msimu huu ulioisha ni nzuri kuliko Pogba?
Mkuu,Pirlo na Vidal waliondoka na bado Pogba aliendelea kung'ara. Swala ni kwamba kulikuwa na wakabaji alafu yeye alikuwa free kupandisha timu na kucheza,ndio maana Mourinho anataka kuongeza kiungo mkabaji.Game performance msimu huu kina Dembele na Wanyana walikuwa juu kuliko pogba. Labda ameshindwa kuizoea epl. Pogba kabla ya kuja united alikuwa vizuri na sii kama tunavyofikiria. Kumbuka pogba alikuwa anazungukwa na ma midlle wazuri hivyo kumfanya naye angare. Maestro Andrea Pilo, Arturo Vidal, na Marcchisio.
Ukitaka kujua jamaa ni wakawaida angalia euro iliyopita. Alifunikwa hata na Musa Sissoko na kina Payet kule kwenye timu ya taifa.
dembele huyu huyu aliekua anakalia bench? au mwengine? maana mechi za mwisho mwisho nilikuwa namuona anaingia tu kama sub.Tukubaliane, kutokubaliana. Spurs msimu huu ulioisha ndio timu iliyokuwa na viungo bora kabisa. Musa Dembele, kwangu huyu ndio kiungo bora kwa sasa pale epl. Jamaa anapiga soka la nguvu,(physics) la akili. Anajua. Huyu kwa wale mliowahi kumwona Patrick Viera hawa jamaa wanafanana sana kwa kila kitu.
Victor wanyama. Huyu ni zaidi ya aliyekuwa kiungo shoka Claudio Makelele. Pumzi, nguvu, stamina, anafunga. Wanyama huyu ni wa kumlinganisha na Kante. Ila kwangu Wanyama yupo juu ingawa kule primeir league wamempa Kante tuzo.
Ericksen. Kiungo mwingine mchezeshaji. Anapambana mwanzo mwisho. Ndio injini ya spurs kwa sasa.
Kiungo yeyote anapolinganishwa na Pogba ni kwa sababu ya thamani ya pogba kwa pesa mlizotumia kumpata. Na si kwa uchezaji wa uwanjani. Dembele, Hererra, Wanyama, na hata kina Toure wa city ni wszuri kuliko huyo Pogba.
Uyo anayesema herrera hawezi kataa kwenda barca itakuwa akili zake zipo matakon kama za gigy money ....kama ujui mourinho yupo lazi amuuze de gea na rashford at the same time lakini sio herrera. Wachezaji waliofit mfumo wa mourinho msimu huu ni Valencia na Herrera. Herrera kaitwa national team for the first time......Herrera anapewa heshima kubwa sana na mafans wa man utd ...kuna mechi moja sijui ipi pale OT waingereza walimwandikia bango Herrera 'Herrera is not a Spaniard,he is English'.....sasa mpk waingereza walivyokuwa na nyodo na kulinga kwa kujiona taifa lao superior alaf wanakubatiza utaifa wao lazima ushtuke kidogo .....
Ander Herrera is upcoming Roy keane
Hata Cesc ali-fit kwenye mfumo wa AW na alikua captain mdogo kabisa na alipewa kila heshima,narudia tena hakuna mchezaji hasa toka Spain ambae hana ndoto za kucheza pale Barca au Madrid uyu Herrera hana ubavu wa kukataa kwenda Barca kwanza kwake ni bahati hata kuhusishwa na Barca achana na kucheza.
Upo sahihi but pogba aliyekuwa juve si huyu wa united. Kuna wachezaji huwa wanangara afu hawachekewi kuflop. Maarez yeye hakuflop kama unavyofikiri. Timu nzima ilikuwa mbovu. Walikuja kushtuka kumekucha wakaanza kukaza ili wasishuke daraja. Marez bado ni mzuri.Mkuu,Pirlo na Vidal waliondoka na bado Pogba aliendelea kung'ara. Swala ni kwamba kulikuwa na wakabaji alafu yeye alikuwa free kupandisha timu na kucheza,ndio maana Mourinho anataka kuongeza kiungo mkabaji.
Pia ukizingumzia performance ya euro, ni kawaida kwa baadhi ya wachezaji wakubwa kuflop au kucheza underperform. Sissoko aliyeng'ara euro unajua hata alipo sasa hivi? Au Mahrez aliyeng'ara msimu mzima uliopita msimu huu kasikika?
Mkuu Pogba ni mchezaji mzuri sana,ni kwamba msimu huu ameshindwa kumeet expectations za wadau hasa ukiangalia price tag yake.
Jamaa wanawivu sana.Herrera kasema haendi barcelona sasa,kama hautaki nenda wewe.
Tukubaliane, kutokubaliana. Spurs msimu huu ulioisha ndio timu iliyokuwa na viungo bora kabisa. Musa Dembele, kwangu huyu ndio kiungo bora kwa sasa pale epl. Jamaa anapiga soka la nguvu,(physics) la akili. Anajua. Huyu kwa wale mliowahi kumwona Patrick Viera hawa jamaa wanafanana sana kwa kila kitu.
Victor wanyama. Huyu ni zaidi ya aliyekuwa kiungo shoka Claudio Makelele. Pumzi, nguvu, stamina, anafunga. Wanyama huyu ni wa kumlinganisha na Kante. Ila kwangu Wanyama yupo juu ingawa kule primeir league wamempa Kante tuzo.
Ericksen. Kiungo mwingine mchezeshaji. Anapambana mwanzo mwisho. Ndio injini ya spurs kwa sasa.
Kiungo yeyote anapolinganishwa na Pogba ni kwa sababu ya thamani ya pogba kwa pesa mlizotumia kumpata. Na si kwa uchezaji wa uwanjani. Dembele, Hererra, Wanyama, na hata kina Toure wa city ni wszuri kuliko huyo Pogba.
Game performance msimu huu kina Dembele na Wanyana walikuwa juu kuliko pogba. Labda ameshindwa kuizoea epl. Pogba kabla ya kuja united alikuwa vizuri na sii kama tunavyofikiria. Kumbuka pogba alikuwa anazungukwa na ma midlle wazuri hivyo kumfanya naye angare. Maestro Andrea Pilo, Arturo Vidal, na Marcchisio.
Ukitaka kujua jamaa ni wakawaida angalia euro iliyopita. Alifunikwa hata na Musa Sissoko na kina Payet kule kwenye timu ya taifa.
Upo sahihi but pogba aliyekuwa juve si huyu wa united. Kuna wachezaji huwa wanangara afu hawachekewi kuflop. Maarez yeye hakuflop kama unavyofikiri. Timu nzima ilikuwa mbovu. Walikuja kushtuka kumekucha wakaanza kukaza ili wasishuke daraja. Marez bado ni mzuri.
Unajua wakati mwingine vilabu huwa vinafanya sajili kwa kushinikizwa na propaganga za vyombo vya habari. Kwa mfano mwenyekiti wa spurs ni mzuri sana kwenye hili. Ref Bebatov, Modric na Bale. Jamaa alicheza sana na vyombo vya habari, akafanikiwa kuwauza kwa gharama kubwa. Nyie pia mmeingia mkenge.
Wewe hizo ni game plan. We hujawahi kumwona Yakin Carasco akianzia bench?dembele huyu huyu aliekua anakalia bench? au mwengine? maana mechi za mwisho mwisho nilikuwa namuona anaingia tu kama sub.
We kisu vp? Kwani ukicheza no 6 ndio usingae. Mbona Busqet anangara na anacheza 6?Mkuu ulikua unangalia Euro na mke wako nini? Pogba alikua anacheza 6 nyuma ya Matuidi . Ulitaka ang'are vipi kama Payet aliekua anacheza 11 au Sissoko aliekua anacheza 7?
We kisu vp? Kwani ukicheza no 6 ndio usingae. Mbona Busqet anangara na anacheza 6?
Upo sahihi but pogba aliyekuwa juve si huyu wa united. Kuna wachezaji huwa wanangara afu hawachekewi kuflop. Maarez yeye hakuflop kama unavyofikiri. Timu nzima ilikuwa mbovu. Walikuja kushtuka kumekucha wakaanza kukaza ili wasishuke daraja. Marez bado ni mzuri.
Unajua wakati mwingine vilabu huwa vinafanya sajili kwa kushinikizwa na propaganga za vyombo vya habari. Kwa mfano mwenyekiti wa spurs ni mzuri sana kwenye hili. Ref Bebatov, Modric na Bale. Jamaa alicheza sana na vyombo vya habari, akafanikiwa kuwauza kwa gharama kubwa. Nyie pia mmeingia mkenge.
Kisu...Herrera kasema haendi barcelona sasa,kama hautaki nenda wewe.
Kisu...
Hivi ule mpango wa kumleta antonio G7 umefikia wapi?
Busquet alingaa kwenye Euro 2016??We kisu vp? Kwani ukicheza no 6 ndio usingae. Mbona Busqet anangara na anacheza 6?